mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 364
Mzito Kabwela wewe bora urudi madhabahuni tu huku utazeeka bila heshima
Last edited by a moderator:
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.
Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.
Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.
Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.
Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
Bubu mtu kutoa historia yake kuwa yeye hajawahi kuwa chama kingine zaidi ya CHADEMA,ni kuchafua chama?ki ukweli mmekuwa mkisema Zitto msaliti ila hakuna evidence yoyote mliyotoaHakuna aliyemkataza Zitto kwenda kwao hata akitaka kuhamishia makazi kwao RUKHSA kufanya hivyo, kinachogomba ni Zitto kwenda kwao kwa minajili ya kukichafua chama na Viongozi wake wote hicho ndicho tusichotaka.
Hakwenda Mwandiga?teh teh, kumbe kasulu ni jimbo la zitto?
JF kuna vituko wewe nae unatisha, teh teh teh Chadema ni mali ya Mtei na Mbowe nyie wengine hata mkiondoka sawa tu.Kifupi ni kuwa Zitto ni MHUNI. CDM waki-compromise na Zitto mimi na siasa za chadema itakuwa imetosha. Tutawaaxha waendelee wenyewe
Bubu mtu kutoa historia yake kuwa yeye hajawahi kuwa chama kingine zaidi ya CHADEMA,ni kuchafua chama?ki ukweli mmekuwa mkisema Zitto msaliti ila hakuna evidence yoyote mliyotoa
Amekichafuaje chama mbona hamsemi? Na kwa nini hamjadili maudhui ya hotuba yake? Ushabiki kitu kibaya
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.
Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.
Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.
Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.
Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
Hao wajumbe ni kina nani,wapo wangapi na wamesema wapi? Mbona sugu anakujaga huku songea kufanya mikutano na hana cheo chochote zaidi ya ubunge wa mbeya? Wapi zitto kakashifu viongozi wa chama,kama wafuasi wake mbona yeye anatukanwa pia?
Mtu asiende mkoani kwao?wivu tu
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.
Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.
Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.
Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.
Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
Sasa kama heading kuu ndio hiyo, Zitto aimaliza CHADEMA, Zitto bado ni Chadema na anaimaliza Chadema, basi wangesimplfy tu kuwa "Zitto ajimaliza." ambao ndio ukweli wenyewe Zitto asioujua.Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.
Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.
Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.
Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.
Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
tulieni utulivu na kuvumiliana ndo demokrasia. ngoja aseme mmoja mmoja kisha tupime!.
Tatizo lako molemo wewe una Zittoforbia,ndio maana siku hizi unashindwa hata kula ukashiba kisa Zitto kufanya mikutano na mapikezi kuwa makubwa kuliko ya madikteta wako?
Zitto ni mtetezi wa kigoma nzima,ndio maana alidai kwa nguvu zote kigoma na wilaya zake kupatiwa umeme,alidai Daraja la maragarasi ambalo halipo jimboni kwake,alidai kigoma kuunganishwa na mikoa mingine kwa kujengewa barabara za lami. Zitto pia ni mwakilishi wa watanzania wote,najua mnatamani mumzuie asiende mikoa mingine lkn wananchi tumejitolea kuchangia mabadiliko,tutamchangia mh.Zitto ili afanye mikutano nchi nzima na watanzania wanaojitambua watamiminika kumsikiliza.
Mmezoea kujifanya makaburu lkn tatizo kubwa linalowasibu hamna strategies,mmebaki kutumia peda kama wafanyavyi ccm ili mpate watu mikutanoni,mwusho wa ubaya ni aibu,huyo ndio Zitto kabwe tumaini pekee la watanzania,nakushauri ujitambue na uache kutumiwa na nakaburu wa chadema, ungana na kijana mwenzako kama mungu kakuandikia mafanikio kamwe hayawezi zuiliwa na Mbowe na Slaa,walimkomoa Kafulila wakijua wamemmaliza kisiasa lakini ndio wakamuongezea umaarufu na sasa yupo mjengoni na Mbowe unae muabudu
Zitto anatarajia kufanya mikutano nchi nzima kwa gharama za wananchi wapenda mabadiliko na utazimia siku atakapopokelewa Arusha kama mfalme ndipo utatambua nguvu za Shujaa huyu aliejitoa kusimamia haki na uwajibikaji ndani ya chama chake na nje ya chama chake.go Zitto go watanzania tunakuamini.