Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Chadema waache ujinga mbona mbowe na babu slaa wako mikoan?Zitto habomoi chama bali anawaeleza ukweli wananchi wake na watanzania kwa ujumla!
mkuu mbowe na dr. Slaa wako mikoani kwa taarifa maalumu toka kwenye chama! Je zitto anakipenda chama chake kwa kupokelewa na mabango yanayotukana viongozi na chama chake? Kwa mtu ambaye sio mshabiki hatakubaliana na zitto katika hili!
 
Chadema waache ujinga mbona mbowe na babu slaa wako mikoan?Zitto habomoi chama bali anawaeleza ukweli wananchi wake na watanzania kwa ujumla!

Unamwita Slaa babu ina maana alimzaa baba yako au mama yako? Huu ni ujinga unaoletwa na div. 5. Mbona sijakusikia ukiwaita wengine wa rika lake babu? Jadili hoja acha kuleta mambo ya kwenye kitchen party.
 
ok twambie amevunja kipengele gani kwenye katiba ya chadema.
mkuu, zitto kupokelewa na mabango yanayotukana viongozi na chama ma kukaa kimya ndo uanachama mtiifu kwake? Je kwa kupokea mabango ya namna hii anaijenga chadema? Je huku sio kujikweza kwake? Ningemuelewa kama angeishia kufanya mkutano katika jimbo la kigoma kaskazini tu, lakini kwenda kufanya mkutano jimbo lingine, tena alikopita kiongozi wake, huku akifurahia mabango yanayodhalilisha viongozi na chama sio sawa! Weka ushabiki pembeni!
 
Hao baadhi ya wajumbe wasiokua na majina ndo akina nani?Jitahidini kuboresha habari zenu zisiwe za udaku!!
 
mkuu, zitto kupokelewa na mabango yanayotukana viongozi na chama ma kukaa kimya ndo uanachama mtiifu kwake? Je kwa kupokea mabango ya namna hii anaijenga chadema? Je huku sio kujikweza kwake? Ningemuelewa kama angeishia kufanya mkutano katika jimbo la kigoma kaskazini tu, lakini kwenda kufanya mkutano jimbo lingine, tena alikopita kiongozi wake, huku akifurahia mabango yanayodhalilisha viongozi na chama sio sawa! Weka ushabiki pembeni!

mbona unakwepa kujibu swali langu rahisi? Hivi ni kipengele kipi kwenye katiba ya chadema kavunja?

Sasa hivi zitto atawapangia watu chakusema au kuandika?kwa hiyo zitto kawatuma?
Hivi vijana wa bavicha wanavyo mtukana zitto humu wanakuwa wametumwa na viongozi wao wa kitaifa na makao makuu?
Hapa tunaongelea hao so called kamati kuu watwambie ni kipengele kipi kimevunjwa?
 
mkuu pasco.. Mtumzima hatishiwi nyau.. Zitto hata akusanye maelfu.tunacho angalia je taratibu anazifuata??

hebu twambie ni kipengele gani na utaratibu gani umevunjwa? Hebu weka vifungu.
 
Yaan hata sielewi nasi tumekuwa zaidi ya maccm,chama sio sikivu kabisa,yote tunayolalamika Siku zote sisi na viongozi wenyewe kuhusu zzk wametia pamba masikioni huku wakiendelea kumwita msaliti,tunalalamikia maccm kwa mawaziri kulalamika na kutochukua hatua za haraka mpaka majanga yanatokea nasi chama kinashindwa kuchukua action haraka sijui kwa sababu gani!tunashindwa kum-manage Zitto tu sasa rasilimali za nchi tutazi-manage vipi? Matokeo yake tunafanya ubaguzi wa kuwabagua wana kigoma watanzania wenzetu na kuongeza kuwaita migebuka na wavua dagaa!what is this!,imefika wakati tuambiane ukweli lasivyo tutakuja aibika bure,zzk amevunja katiba na viongozi wa chama nao wamevunja katiba sasa tutaenda hivi mpaka lini?kukosoana sio kushindwa jamani tusikubali kwenda hovyohovyo,wengi wanatuamini imani itawaisha kwa mwendo huu,ohooooo!
 
ok twambie amevunja kipengele gani kwenye katiba ya chadema.
mkuu, zitto kupokelewa na mabango yanayotukana viongozi na chama ma kukaa kimya ndo uanachama mtiifu kwake? Je kwa kupokea mabango ya namna hii anaijenga chadema? Je huku sio kujikweza kwake? Ningemuelewa kama angeishia kufanya mkutano katika jimbo la kigoma kaskazini tu, lakini kwenda kufanya mkutano jimbo lingine, tena alikopita kiongozi wake, huku akifurahia mabango yanayodhalilisha viongozi na chama sio sawa! Weka ushabiki pembeni!
 
Chadema bana kwa udikteta yaani mbunge kwenda kufanya mkutano jimboni kwake ni makosa, Lema akipokelewa na wapiga kura wake sawa lakini Zitto anaonywa.
teh teh, kumbe kasulu ni jimbo la zitto?
 
Hivi ukifikuzwa uongozi wa chama hauruhusiwi kuongea wa wapiga kura wako!....... mimi hapa nafhani ni uoga tu wa demkrasia
 
kwani mlipoanzisha kanda na kumega baadhi ya madaraka ya makao makuu na kuyaamishia kwenye hizo kanda mlikuwa mna maana gani?! au madaraka ya kupanga maandamano na mikutano yalibaki Ufipa?!
Unauhakika kwamba huwa hatoi taarifa Taifa makao makuu?

wanaomlalamikia Zito ndo hao wa huko makao makuu, je umeshawahi wasikia wakilalama kuhusu Sugu?
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
litaisha gazet sio CDM
 
ni ibara ipi ya katiba ya chadema inasema mbunge kwenda kuongea na wapiga kura wake aombe ruhusu kamati kuu.

mkuu Ritz kwakweli chadema hawawezi kuongoza nchi kabisa kwa hii style.

Kwa style hii wangepewa nchi kila siku watu wangekuwa wananyongwa hadharani hasa wapinzani wao.

Huyo dr slaa wao asahau kabisa kupata kura alizozibahatisha 2010.
Molemo tupe kipengele au ibara inayo mkataza zitto kufanya mikutano.
 
Last edited by a moderator:
mbona unakwepa kujibu swali langu rahisi? Hivi ni kipengele kipi kwenye katiba ya chadema kavunja?

Sasa hivi zitto atawapangia watu chakusema au kuandika?kwa hiyo zitto kawatuma?
Hivi vijana wa bavicha wanavyo mtukana zitto humu wanakuwa wametumwa na viongozi wao wa kitaifa na makao makuu?
Hapa tunaongelea hao so called kamati kuu watwambie ni kipengele kipi kimevunjwa?
ha haa, mkuu unafahamu majukumu ya mwanachama mtiifu wa chadema? Je yeye anafurahi hayo mabango yanayodhalilisha chama mbele yake? Je huo utiifu wa zitto kwa chama uko wapi? Mkuu kwa haya maswali niliyokuuliza, yanagusa pia katiba ya chama! Kuhusu watu mitandaoni hakuna connection kubwa na hoja inayojadiliwa mkuu!
 
Back
Top Bottom