mkuu, zitto kupokelewa na mabango yanayotukana viongozi na chama ma kukaa kimya ndo uanachama mtiifu kwake? Je kwa kupokea mabango ya namna hii anaijenga chadema? Je huku sio kujikweza kwake? Ningemuelewa kama angeishia kufanya mkutano katika jimbo la kigoma kaskazini tu, lakini kwenda kufanya mkutano jimbo lingine, tena alikopita kiongozi wake, huku akifurahia mabango yanayodhalilisha viongozi na chama sio sawa! Weka ushabiki pembeni!
Niliwahi kuandika hapa na narudia. Zitto hajui siasa, bado mdogo na kajimaliza mwenyewe kwa kiasi kidogo ila CCM wamemmaliza kwa kiasi kikubwa ndo maana wanamwangaikia sana. Sitashangaa wakimpa uwaziri.
Huyu bwana akisimama akaona umati wa watu mwingi, anajiona anamiliki nchi ndo maana anafanya anayofanya. Kwani kina Mrema walikuwa na wafuasi wangapi? Wako wapi?
Kibaya zaidi, huyu bwana ni ndini nadhani kuliko JK. Watu wengi hawalijui hili. Hayo tu ndo yatammaliza. Sasa hivi hata akibaki Chadema, hana rafiki huko na hii itatesa sana psychology yake. Hivyo kama Chadema wanataka kumpa haki yake huyu mtu, mwacheni mwanachama ila avuliwe uongozi. Dawa ya mke mkorofi ni kuoa mwingine, si kumfukuza. Kwa sasa wapo vijana wengi wenye uwezo mara mia ya huyu Ibilisi na wenye mapenzi mema na taifa lao. Watumieni hao, achana na hiki kicheche aka Zitto.
Awali nilisema huyu bwana ni ndini...nieleze kwa nini. Rejea njia mojawapo walotaka kutumia kupindua chama ilikuwa udini. Mbali na hiyo, Zitto anatumiwa na JK na hivyo anaona vema kumsaidia, kuua vyote vyenye nia njema na taifa letu huku JK akimtumia Mwema kuwekea watu vyuma sehemu za siri, kuua watoto, kuvuruga mikutano ya wapinzani (isipokuwa mkutano wa Zitto), makamanda wa polisi kubambikiza watu kesi. Nia yao? Wakishaua Chadema, wakatisha kung'oa watu kucha na meno, Zitto analimbikiziwa ma dollar yake Ujerumani, baadhi alishapewa, JK na team yake watakuwa wanachukua Tembo mzima mzima sasa kwa sababu uwanja utakuwa wao. Hii ndo thamani ya Zitto (kwa wale wanaomshangilia). Hivi unadhani JK na Zitto wanafanya haya kwa makusudi ya kulikomboa taifa letu? Mandella aliwasamehe makaburu lakini si wasaliti. Zitto inabidi afwatwe jukwaani. Ni mchawi, msaliti na ni mjinga.
Juzi, kuna shujaa aliandika kwenye page ya facebook ya Zitto. Watu wengi hawakuona kilichoandikwa kwa sababu Zitto aliwahi kutoa hiyo page. Shujaa alimlinganisha Zitto na magaidi wanaofanya maangamizi duniani. Alitaja kuwa, hawa magaidi kwanza huomba huruma kwa watu, utafuta sehemu nyeti hasa za kusababisha maangamizi makubwa. Akatoa mfano wa wale waloteka ndege za kimarekani mwaka 2001, waliwadanganya abiria kwamba wanarudi kutua kuna vitu wanataka airport. Kumbe baadhi yao waishashika usukani na wana nia nyingine. Hivi huyu si Zitto? Anatudanganya eti anataka democrasia, anataka uenyekiti (usukani hili aangamize)
Mtu hujawahi kuingia kwenye ofisi ya chama chako kwa miezi tisa, hujawahi kuudhulia mikutano na wenzako (kwa sababu makamanda wa JK humpa update kwamba watarusha kitu chenye ncha kali), watoto wamekufa huko Arusha, hukuonekana msibani, wakati hayo yanatokea, yeye yupo busy na kina Mwigulu kwenye playbook yake na kuhakikisha dollar zimeingia kwenye account. Leo kanataka uenyekiti? Ndo maana nasema huyu kaka ni mjinga.
Kwa kuangalia yote hayo, mwenye ubongo atajua kwa nini mataifa ya Somalia, Sudan na kwingineko yapo jinsi yalivyo. Watawala ni wale wale kama kina JK, Zitto, Mwema...and co
Nawasilisha.
Hata akipewa uwaziri