Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Ila sasa na nyinyi CHADEMA wiki hili mfanye kweli suala la Zitto liishe. Mfukuzeni kama ambavyo tunategemea au mwacheni ionekane munamwogopa, (nadhani hamtafanya kosa hili).
Bunge limekwisha lililokuwa linawabana nafasi ya kukutana, sasa mfanye kweli wiki hii tumechoshwa na hili suala la Zitto!
 
molemo hauna tofauti na rough rider au dume, akili zako na utashi wako umeweka mfukoni

umetawliwa na chuki na wivu ambavyo vinakunyima haki na uwezo wa kufikiri
 
cdm ni chama makini sana , TUNAWASHUKURU SANA WAJUMBE WA KAMATI KUU .
 
molemo hauna tofauti na rough rider au dume, akili zako na utashi wako umeweka mfukoni

umetawliwa na chuki na wivu ambavyo vinakunyima haki na uwezo wa kufikiri

wajumbe wa kamati kuu siku hizi wamekuwa molemo tena ?
 
Siasa si mchezo,Kwa hiyo Zitto amesimamishwa hadi kwenda kuwatembelea wapiga kura wake?
Kuwatembelea wapiga kura wake, hakuna shida yoyote ile.Lakini kumbuka alisimama kwa tiketi ya chama.
 
Tatizo la Zitto mshauri wake mkuu ni mama yake,yule mama wa Kiswahili sijui anaitwa nani vile?
 
Zito anaomba vibali kama mbunge na raia wa kawaida kwan anayo haki ya kufanya mkutano popote pale mradi havunji sheria... tatizo lenu misukule ya ufipa mmekalia majungu na umbea kama wanawake wa kizaramo na wakwere. Hamjui zito kwenye mikutano yake anaongea mmekalia kupiga kelele tu. Nimehudhuria mikutano yake, huyu jamaa anahamasisha mshkamano wa wanachama ulokwishaanza kupotea. Ufupi naweza kusema anatumia pesa zake za mfukon kujenga chama wkt kama huu kinapoonekana kupalaghanyika... zitto ni mwanasiasa wa aina yake.
 
Wala haina haja ya kuhangaika nae,sidhani kama ataweza kufanya mikutano nje ya Kigoma!anachofanya ni kuwalaghai baadhi ya watu wasiojitambua kwa minajiri ya UKIGOMA wake!hizi ni dalili za mfa maji,ni kumuacha ahangaike mwisho wa siku atakua amejimaliza naturaly!

Zito si wa kudharau maana inaonekana ana ufadhili toka nje ya CHADEMA. Anatakiwa ashughulikiwe mara moja ili akienda ziara ajue anaenda kwa jina la chama gani. Anakusanya watu kwa jina la CHADEMA wakati anafanya kazi ya CCM.

Mikutano yake kuanzia ule aliofanya na waandishi wa habari inasimamiwa na watu ambao walishaondoka CHADEMA na sasa anasema yeye ni mwaminifu kwa CHADEMA. Haiingii akilini.
 
Mimi naomba huyu muhuni mchumia tumbo wa ccm, afukuzwe tuone anaenda wapi/ huwezi kuwa maarafu zaidi ya chama labda uwaongoze vichaa na mazezeta, plse kamati kuu kateni mzizi wa fitina huyu msaliti mpigeni chini
 
huna cha kujadili we malaya kwa hiyo hutaki aende jimboni kwake kuonana na wapiga kura wake ifike hatua tusiendekeze siasa kila siku zzto zito haivi mungu akimuchukua na jamii forum itakufa au itakuwaje coz bila zzto wengine hamuuingii jf badilikieni
 
ulichokiandika hakina maana nyie ndo mnajiunga kwenye vyama mkufuaata majina ya watu kama ulieanda kwa moyo mkunjufu kwann uumizwe na mambo anayo fanya zzto wakati zzto anfanya hayo ss tuje na mada ni namna gani ya kukijenga chama kizidi kuwa imara na siyo kila siku kumjadili mwanaume mwenzio
 
Hapo kwenye Red: Huruma ya nini, si mumfukuze? kwani siku 14 hazijaisha?
Hapo kwenye green: Slaa alienda Jimbo la Zitto bila mwenyeji wake kuwepo. Je hapo FAIR PLAY ikowapi? CHADEMA mmecheza Faulo na Zitto naye anacheza faulo.(Nakumbuka enzi za miaka ya 1970 mechi kati ya Uruguay & Paraguay kuanzi golikipa hadi namba 11 wote wanapiga buti)
Hapo mimi naona kama Ngoma imekuwa droo.

Ndugu yangu tafadhali sana shirikisha ubongo wako NA mawazo yako NA ujumuishe NA kile ukiandikacho .

Zitto amekuwa naibu katibu mkuu unalifahamu hilo?? Hyo Ni post kubwa chamani. Je unajua majukumu yake?? Je? Ulishawahi kumwona akimsaidia kazi katibu mkuu? Hata mara moja sijawahi kuona ajitumavyo. Sasa iweje leo alipofukuzwa ndio aende kwenye msafara WA katibu mkuu?? Nadhani maccm mnamuhitaji sana huyu tafadhali mchukueni
 
hivi kamati kuu wameamua nn coz siku kumi nne zimeisha, halafu tumechoshwa na mada zito zito kila siku leteni mada ni namna gani ya kukjenga chama coz huyu ni mwanaume mwenzetu swala la kukaa tuna mjadili mwanaume mwenzetu halina maana kwanza ss yawezekana tunapoteza mda kumbe wao wana yao wanyo yafanya
 
Back
Top Bottom