Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Huu ndo ujinga ambao viongozi wa CDM makao makuu wanataka kutulisha! Kwamba wao wana haki ya kuzunguka nchi nzima na kumnanga Zitto lakini yeye hana haki ya kujibu. Upuuzi!!! Ngoja dogo awamalize. Si mlisema ameisha, sasa kilio cha nini? Wabunge wengi hawana vyeo vya kichama lakini huwa wanafanya mikutano mingi tu nchini mbona sijawahi kusikia mkilalamika?
 
Hoja ni kwamba kwann dk Slaa afanye ziara jimboni kgm kaskazin bila ya mwenyeji kuwepo? Mbona mkienda Arusha mpambe wao hakosekani? Zitto bado ni mbunge na cdm inamtambua kwann asipewr taarifa? Tujibu hoja sio kukimbilia kusema buku7, hoja kwa hoja, vinginevyo mtaonekana mmezidiwa hoja na hao mnaowaita bk 7.
 
Wala haina haja ya kuhangaika nae,sidhani kama ataweza kufanya mikutano nje ya Kigoma!anachofanya ni kuwalaghai baadhi ya watu wasiojitambua kwa minajiri ya UKIGOMA wake!hizi ni dalili za mfa maji,ni kumuacha ahangaike mwisho wa siku atakua amejimaliza naturaly!

Anahutumia migebuka wenzie na wavua dagaa
 
Zito sasahivi ni mbunge wa kigoma tu, hivyo kwa mujibu wa sheria na kanuni za chama haruhusiwi ndio

Sina hakika Kama u sahihi. Mtu yeyote anaweza kufanya mkutano sehemu yoyote Tanzania mradi tu afuate taratibu za kisheria.
 
Hoja ni kwamba kwann dk Slaa afanye ziara jimboni kgm kaskazin bila ya mwenyeji kuwepo? Mbona mkienda Arusha mpambe wao hakosekani? Zitto bado ni mbunge na cdm inamtambua kwann asipewr taarifa? Tujibu hoja sio kukimbilia kusema buku7, hoja kwa hoja, vinginevyo mtaonekana mmezidiwa hoja na hao mnaowaita bk 7.

Ukiwa kama mwanaCCM huwezi kufahamu taratibu za Chadema!
 
Zitto huko uendako ni nouma zaid bro,fuata taratibu,nadhan n wakat xaxa ujpange na issue zngine bt nat politics
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Molemo boya!!mwepesi !!!! hoja za kitoto,unamuhukumu mtu kupitia magazeti??kwahiyo asiende kwao!!!!
 
mwacheni zitto aitwe zitto chadema hamtamweza daima uwezo wake ni zaidi ya wale wajumbe wote wa cc ya chadema.
 
Huu ndo ujinga ambao viongozi wa CDM makao makuu wanataka kutulisha! Kwamba wao wana haki ya kuzunguka nchi nzima na kumnanga Zitto lakini yeye hana haki ya kujibu. Upuuzi!!! Ngoja dogo awamalize. Si mlisema ameisha, sasa kilio cha nini? Wabunge wengi hawana vyeo vya kichama lakini huwa wanafanya mikutano mingi tu nchini mbona sijawahi kusikia mkilalamika?
Wewe usijifanye mjanja,unafahamika wewe ni nani na uko hapa kwa lengo gani.

Wabunge wanapofanya ziara nje ya majimbo yao basi uongozi wa jimbo au wilaya hujulishwa

Makao makuu inaingiaje kwanza katika hicho ulichoita "kuaminisha"?
 
Sijui mnampa promo gani wale wote walioandaa mapokez yake ni wana NCCR na CCM wamewalaghai vijana wa bodaboda eti kuonyesha nguvu yake dhidi ya DR. Kifupi the guy is politically finished
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Hahahaha, mmeanza kutapatapa na bado, wabinafsi wakubwa nyie
 
Zitto ni bomu hatari. Mabomu ya aina hii huweza kulipuka hata Kama limekwishateguliwa!
Kumwacha Zitto ndani ya chama ni hasara zaidi kuliko kumfukuza hasa kama chama hakiwezi kumdhibiti
 
ziko taratibu za chama kwa kiongozi au mbunge kwenda kufanya mikutano.Siyo kujiamulia mtu yeyote na kwenda kuhutubia popote.
amevunja kanuni ipi? pia jibu maswali kuhusu hao wajumbe,wapo wangapi waliomuonya.?
 
Wewe usijifanye mjanja,unafahamika wewe ni nani na uko hapa kwa lengo gani.

Wabunge wanapofanya ziara nje ya majimbo yao basi uongozi wa jimbo au wilaya hujulishwa

Makao makuu inaingiaje kwanza katika hicho ulichoita "kuaminisha"?

Acha kutoa povu, Mwenyekiti wa CDM mkoa ndiyo ameandaa haya mapokezi jana na leo amehutubia kabla ya Zitto.
 
Kwani hizo taratibu au kanuni zinatakaje? Ni kwa vipu huho ZZK amekiuka au kuvunja kanuni hizo?

hivi na wewe unaona umeuliza maswali?kweli unaweza ukawa na elimu na bado ukawa mjinga kam wewe .
 
Hivi siku hizi mtu aruhusiwi kufanya mikutano jimboni kwake au hata nje ya jimbo lake bila ruhusa ya Chama chake? Inakuwaje viongozi wengine wa CHADEMA wafanye mikutano wakiongelea masuala haya ya zitto lakini yeye hasiruhusiwe!

Kwanza lazima ieleweke kuwa Zito bado ni mbunge hivyo ana haki ya kufanya mikutano kadri anavyoona inafaa.
Na je ataomba kibali kwa chama gani wakati vingozi wakuu wamekusudia kumumaliza na ushahidi ni hiyo ziara aliyofanya Dr. Slaa
 
Back
Top Bottom