Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

mwaacheni mfu kisiasa ajizike mwenyewe. Kuendelea kujibizana nae nikupoteza wakati.
 
Kaa kimya wewe , usisahau kuwa slaa ni katibu mkuu wa chama... Sasa huyo mnafiki wenu vipi? Afu kwanini msimshauri akaanzishe chama chake jamani?
kuhusu huyo zitto mfukuzeni tu haina haja ya kumtungia uongo kwenye mitandao. kwani kamati kuu si yenu, hata mkimfukuza hamna wa kuwahoji.
na kwa bahati mbaya kabisa kumbe na nyinyi ni wachumia tumbo tu kama haya maccm a.k.a chama cha majizi.
eti mnatetea wanyonge! wanyoge wawapi wanafiki wakubwa nyie.
 
mwaacheni mfu kisiasa ajizike mwenyewe. Kuendelea kujibizana nae nikupoteza wakati.

Nyinyi ndio wafu Zitto hakuna mkutano wake kataja jina la mtu,hebu msikilize huyo padri mnywa gongo kila mkutano lazima amtaje Zitto na huyu halali kila siku Zitto hapo makao makuu walamba viatu wakisikia kuna Uzi wa Zitto wakwanza kuja kumwaga matapishi yao hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu zitto si ahame tu chadema anaoiga piga kelele za nini.!watu wafupi wana shida sana

Kishasema hatahama kama nyinyi vidume mfukuzeni tuone,hapo ndio utajua wachaga na pesa,maana.akitoka Zitto lazima ruzuku ya chama ipungue
 
Last edited by a moderator:
Yani hii kitu inaitwa cc ya cdm haina tofauti na cc ya ccm kujivua gamba siku 90 mpaka leo ni siku 400 wakati cc ya cdm ni 14 days ambayo mpaka sasa ni 30+. Nilijua cdm wamewahi japo wamechelewa kutoa mamuluki zito, shibuda and co. Kumbe ndio wamechelewa zaidi....napata hisia ni propaganda hata cdm ukute ni ccmd


Hivi kwanini Zitto afukuzwi..?
 
Huelewi hata maana ya siku 14.Unatia Huruma sana.
Sasa Molemo, si ueleze maana ya siku 14. ukishindwa kufanya hivyo we ndo wa kuhurumiwa. wewe kama ni kiongozi wa chama jipambanue hivyo kwa kutoa maelezo ya kina (kwa ruksa ya msemaji mkuu, of course).
 
Eti juzi anasubutu kufanya mkutano bila kuihusisha CHADEMA!!! Zitto hatufai bwana
 
hata kama mtoto utampenda vipi, Mzazi utawajibika kumtia bakora wakati mwingine ili kumlinda sasizidi kupotoka. Na mtoto akikimbilia kwa shangazi au bibi na kushtaki . Bibi au Shangazi anatakiwa kumuongezea kibado vinginevyo anaweza kuharibika.

ZITO ANATAKA KUWA "MUNG'UNYE" KUHARIBIKIA UKUBWANI

wANAKIGOMA MMPENI USHAURI WA KWELI NA SI KUMPOTOSHA.

ZITO NI MWANACHAMA NA SI CHAMA
 
Upuuzi mtupu! Aliyechakachua katiba hakuvunja taratibu za chama? Amechukuliwa hatua gani mpaka sasa? Mbona nyie wa-d.u.du mna nongwa Sana na ZZK? eti anasubiri huruma ya kamati kuu.WTF mwenyewe kasema atakuwa WA mwisho kuondoka kwa hiari.kama vipi mfukuzeni basi tuelewe kimoja sio hizi ngonjera zisizoisha.
 
Kaa kimya wewe , usisahau kuwa slaa ni katibu mkuu wa chama... Sasa huyo mnafiki wenu vipi? Afu kwanini msimshauri akaanzishe chama chake jamani?

huyu snitch si bora apigwe chini kabisa? ngoma yake inavuma sana lkn najua ipo karibu kupasuka
 
Mi sion kosa la ZZK! Kwenda jimboni mwake hata ikiwezekana kwenda kuwaeleza yaliyojiri, pia mikakati yake kuhusu jimbo lake, kama kuna wafuasi wake walitumia ziara hiyo kutoa madukuduku yao kwa CHADEMA! Vilevile itakuwa ni wao! Wana kigoma ndio walimpa ZZK ubunge kwa hiyo lazima awanyenyekee! Sasa wewe ulitaka asiende???? Tuandike mambo ya akili kidogo! Sio ushabiki usiokuwa na tija! Na mi sioni kwamba ZZK! Anasubiri huruma la hasha! Kama makosa aliyoyafanya yanasdtahili adhabu kubwa kuliko hiyo aliopewa! Basi afukuzwe na uanachama kabisa! Na kama kuna adhabu tofauti inayolingana na makosa aliofanya chama hakina budi kufanya hivyo! Hakuna neno huruma kwenye harakati za kwenda ikulu! Haya ni mapambano! Ila usianzishe mada chonganishi kama huna mada! Kaa pembeni changia za wenzako! Sio unaandika tu mawazo mgando!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

"Tuhuma zinazotolewa dhidi ya Zitto na wenzake kwamba ------------ na chama fulani cha siasa zinahitaji maelezo na vielelezo vya kina ili kuwaaminisha wengi. Nasema hivi kwa sababu historia yao inadhihirisha kuwa wana uchungu na chama chao. Chama kinachoongozwa kwa demokrasia na kinachotarajiwa kushika madaraka ya kuongoza nchi, lazima kionyeshe uwezo mkubwa wa kuvumiliana, kutafakari, kusamehe, kuaminiana na kujenga umoja wenye lengo la kuelekea kusudio lake." Baregu Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili.

Source: November 2013 | KAPINGAZ
 
Ndio maana hua nasema kuwa Baadhi ya Waandishi WA Habari WA Tanzania ni zaidi ya Ibilisi, sasa hapo Jambo Leo wameandika utumbo gani? Je wakati wanaandika walifikiria impact ya utumbo kwa Jamiii maskini?????
Ukiandika habari ya avuna magunia 40 kwenye acre moja ambayo ni habari muhimu sana watu hawanunui gazeti lakini aandika heading ya Waziri amshushua mkuu wa mkoa hapo kufikia saa 4 magazeti yameisha mwisho wa siku ukikaa chini na kutafakari faida ya kile ulichokisoma unakuta hakuna na ndio tumefikia hapa tulipo kila siku ni habari za design hii. Hata BBC ambao walikuwa wanatangaza habari mbaya za Africa wamebadilika na wakati mwingine wana cover hata story za umuhimu wa gas ya kinyesi
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
Mimi ni mwana Chadema lakini nasema aliyekutuma uje uandike maneno haya hana akili, hawo wajumbe wa Kamati waliyosema maneno hayo hawana akili na wewe kidogo uko na shida. Huwezi kumzuia mbunge kwenda kuongea na wananchi wake au mtu kuongea na wafuasi wake. Shame on you na baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu waliozungumza hayo.
 
Back
Top Bottom