ushawishi upi alionao kwa nini uchaguzi mkuu hakuutumia hadi CDM ikaambulia jimbo moja tu la kwake tena hata yeye huyo STAA wenu alipata less 50 percent ya. Kura zote za ubunge jimboni kwake, ustaa upi ka si siasa za kuchumia tumboMkuu Tatizo Nyinyi Wa Mjini, Ungeishi Kijijini Kidogo Tu Ungejionea, Zitto Anaushawishi Kuliko Mtu Yeyote Unae Mjua Kwa Mikoani. Haujui Chochote Kuhusu Zitto, Kizibo Wewe Rudi Iringa Ebony Wanakuhitaji!
ziara zote za viongozi na wabunge wa chadema ni lazima ziruhusiwe na zipate baraka ya chama!
Zitto ana mawazo kama ya Sultani Makenga au ya Koffie Olomide anavaa suti nzuri chini anavaa raba na kofia ya jua .Zitto ana pambana kuonyesha CCM kwamba bado ana kubalika Chadema .Chadema mkateni na kumtosa aende CCM .
Zitto ana mawazo kama ya Sultani Makenga au ya Koffie Olomide anavaa suti nzuri chini anavaa raba na kofia ya jua .Zitto ana pambana kuonyesha CCM kwamba bado ana kubalika Chadema .Chadema mkateni na kumtosa aende CCM .
je mkutano wa kasulu ndo kuongea na wananchi wake? Mkuu weka ushabiki pembeni, angalia kwa macho manne jambo hili utajua kilichojificha nyuma ya pazia!
Point ni ziara zitambulike na chama,ushabiki usikupunguzie uwezo wa kufikiri,Sugu anafanya hizo ziara kwa uratibu wa chama na malengo ambayo chama imeridhia sasa nini malengo ya ziara ya MM?
Huyu siku zake zinahesabika.
Kwao siyo KasuluHata akienda kwao atoe tangazo?
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi
KWENYE BLUE UMETUONESHA KUWA KAMATI KUU YA CHADEMA IMESHAFANYA MAAMUZI KABLA YA KUSIKILIZA UTETEZI.
PIA UMEONESHA KUWA UTETEZI WAKE HAUTO SIKILIZWA KABISA NA HAUTO BATILISHA MAAMUZI WALIO YA FANYA NI WAZI ILIKUWA NI DANGANYA TOTO KUSEMA KUWA WATAWAPA NAFASI ZA KUJITETEA.
KWENYE RED UMEONESHA WANATAKIWA KUJITETEA LAKINI UMESAHAU KUWA WANAWEZA KUSHINDA NA UMEONGOZWA NA HISIA UKAJIKUTA UNAONGEA KWENYE BLUE.
NINACHO WAPENDEA VIJANA WA BAVICHA WANAJUA KUTOA SIRI ZA CHAMA CHAO , KUMBE KAMATI KUU ILISHAFANYA MAAMUZI.
CHADEMA HUU UNYANYASAJI UTAWATESA SANA NA HILI NDILO KABURI LENU.
cc
CHAMVIGA, Pasco, MSALANI Ritz mwekundu, Tumaini Makene, Dr.W.Slaa.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.
Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.
Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.
Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.
Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.
Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
Mh..... Sasa hilo gazeti linaandika zito aimaliza chadema, kwani zito sio mwanachama wa chadema tena?
Huyu zito sifa zimemzidi na zitamponza siku sio nyingi