Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,878
- 18,168
Ndiyo ulivyozoea kubinuliwa! Mimi situmii mjaribu lugola!Hebu binuka nikushughulikie.
Ndiyo ulivyozoea kubinuliwa! Mimi situmii mjaribu lugola!Hebu binuka nikushughulikie.
HahahahaKwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
Wacha ifike mwaka 2020 ndiyo atawajua ccmWATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
aa kumbe nia nilifikiri mimi ni jambazi kumbe siyo asante kumbe unanijua mimi raia mwema na wewe uache ujambazi sasaUna nia ovu!
Hayo maneno si ya kusemwa na mtu mwenye dhamana ya uwaziri, asiingie yeye kwenye anga za watu huenda akafanywa mshamba na akamalizwa. Kwani hao wanaosema raisi mshamba pia walikuwa wana cheo na nguvu serikalini.WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Huyo Tarime vijijini anachukua kiulaini.Atajikomba sana lakini 2020 hana lake
Mbona unaanza kupata mchecheto, vipi?Ndiyo ulivyozoea kubinuliwa! Mimi situmii mjaribu lugola!
Huyu jamaa ana ulafi wa madaraka hashindwi kuwa mmalizaji wa watu huyu, Siku jiwe akipendwa zaidi na Mungu kuna wana ccm wataomboleza kuliko familia ya Jiwe,
Katoe tigoMbona unaanza kupata mchecheto, vipi?
Umezoea kutoa tigo?Katoe tigo
Tanesco tutajitahidi tusipopata simu kutoka juuKwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
Angalia utapata mimba!Umezoea kutoa tigo?
List ya ICC inaongezeka!WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Kumbe umeshapata mimba?Angalia utapata mimba!