Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Sasa hapo si na yeye kamuita jamaa yake Mshamba? Kuna siku moja nilitukanwa, basi Mwalimu akaniuliza, amekutukaneje? Nikajibu.....kilichotokea sitakisahau. Kwahio huyu nae nikikutana nae tena pale Nefaland Hotel kama siku zile tutamalizana.Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba