Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,097
- 32,918
Labd alikuwa jambazi alipokuwa Chadema (kule ufipa). Kwa sasa ni mchapa kazi haswa. #hapakazitu.msimkane jambazi mwenzenu
Labd alikuwa jambazi alipokuwa Chadema (kule ufipa). Kwa sasa ni mchapa kazi haswa. #hapakazitu.msimkane jambazi mwenzenu
Hata alipokuwa Chadema alikuwa na sura hiyo hiyo, haijabadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
Acha mambo ya kipuuzi puuzi.Ndiyo maana CHADEMA walimrudisha CCM baada ya CCM kumtoa kwa mkopo CHADEMA ...........
Mbona siku hizi ana hasira sana, anajaribu kwenda na kasi ya wapiga mapambio anajikuta ana exergrate! HahahahaaaWATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Tazama anavyo behave akiwa Ccm sivyo alivyokuwa anaishi huku chadema, huku kwetu kuna malaika ukiwa na malaika.unakuwa malaika, ukiwa na mashetani lazima uwe shetani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema Kwtu alikuwa Kamanda, na sasa kawa Jambazi.Ha ha ha, akiwa huku ni kamanda akiwa kule ni jambazi. Upuuzi mtupu.
Malaika fanyeni ukarabati wa makao makuu, sio kukaa kupiga porojo na kungojea msimu wa kuzungusha mikono.Tazama anavyo behave akiwa Ccm sivyo alivyokuwa anaishi huku chadema, huku kwetu kuna malaika ukiwa na malaika.unakuwa malaika, ukiwa na mashetani lazima uwe shetani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema Kwtu alikuwa Kamanda, na sasa kawa Jambazi.
Masikini Waitara! Angesoma historia ya Rwanda before genocide. Kuna watu wameshtakiwa Rwanda, Arusha mahakama ya kimataifa na wengine huko ulaya kwa matamshi yao kabla ya mauaji ya kimbari.WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Ona sasa, Waitara anamkashifu Rais hadharani kwa kumuita mshamba. Alimsikia nani kama siyo yeye mwenyewe kaamua kumwita hivyo!!!?WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Masikini Waitara! Angesoma historia ya Rwanda before genocide. Kuna watu wameshtakiwa Rwanda, Arusha mahakama ya kimataifa na wengine huko ulaya kwa matamshi yao kabla ya mauaji ya kimbari.
Sasa Waitara naye kwa Ushamba na ujinga wake anabebwa kujiingiza kwenye kauli za kipumbavu zitakazo mcost kama machafuko yakijitokeza.
Nani alimwambia kuitwa mshamba ni tusi? Aache kujipendekeza mpaka anajichomeka kwenye jinai bila kujua.
Kweli Waitara in MSHAMBA SANA
Huyo naye ni walewale,naye mshamba na mpumbavu anatafuta uungwaji mkono kura za maoni 2020 na hatopita ndiyo atajua utapeli Wa CCM.
ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO!Kuna hati hati wahamiaji haramu wakatupwa kama kondomu hawana chao 2020,je cha pombe atarudia kazi yake ya awali ya kutembeza Mayai?
Hugo ng'ombe aside na mkia naona anajaribu kupambana ili Nate wamuone anamkia ng'ombe wenzake punga kabisa.WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA