Wahamiaji haramu watakatwa wote back bench,Huyo Tarime vijijini anachukua kiulaini.
Huo ndio ushamba wenyewe unaosemwaWATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Mi pia namuita mwenyekiti mshamba kachanganyikiwa, naomba tannesco wazime umeme nikutane nao hao kwenye Giza, alafu wakasimulie kitakachowakutaWATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Taka za chadmema zinazolewa mtaa wa ufipa zinamwagwa Lumumba, nadhani ulimaanisha hivi, na mifano IPO siyo?chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuu
Aisee premature imbecile haijielewi ,yaani anajiona kafika ,badala ya kujiuliza baada ya muda wa Magufuri Kuisha yeye na wasiojulikana wenzie wataishije plus walamba matako wa awamu ya tano .WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Nyie si ndio mlisema ameona chadema hakumfai hivyo amerudi nyumbani?Ha ha ha, akiwa huku ni kamanda akiwa kule ni jambazi. Upuuzi mtupu.
Kwani kuna ubaya gani?Nyie si ndio mlisema ameona chadema hakumfai hivyo amerudi nyumbani?
kwahiyo ccm ni jalala la kupokea takataka toka chadema?chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuu
msimkane jambazi mwenzenuKwani kuna ubaya gani?