hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
- Thread starter
- #121
Uislamu ni dini ya juzi tu, hapa Africa imekuja juzi tuLabda ukiristo Uislamu umeingia Mwambao wa Africa mashariki kabla ya kuja mreno . Vasco Da Gama alipofika Kilwa aliluta watu ni waislamu tena wenye maendeleo makubwa ktk Biashara.