mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri! Mimi nitakukalisha tena katika mahema, kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu, wakati wa sikukuu ya vibanda.Hakuna inapotofautiana labda useme ,imetofautiana nini na maana ni tofauti ?tuanzie hapo
BHN: Biblia Habari Njema
Na wewe weka ya kwako