Wairaqw ndivyo walivyo?

Status
Not open for further replies.
Garka ng'i oa,kunga khuaa homa tunduloowa waqhaqha'a takay iraqw adaktana lati inoin an daktana!!!!
 
Ndivyo walivyo, ni wakimya na watu wenye huruma sana!
Ukiona kuna Mwiraqw mwenye tabia tofauti na hivyo ujue ana mchanganyiko wa mbegu za kinyaturu, kwakuwa wairaqw wanapenda kuwatumia wanyapala wa kinyaturu kama valmet au massey ferguson manyumbani mwao!
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! wanyaturu wasinishambulie ndugu zanguni!!!!!!!!!
ni kweli mkuu ana huruma ya hatari kitu kidogo tu tusali mme wangu ahahaa wakati ni mchumba
 
Mpende jinsi alivyo.
Huko kwetu Mbulu (Aya Ma'ami', Sanu, Endagikot', Gehandu, Kansay, Kwermusl, Murray, Guwang, Bashay, Haydom, Endabash, Basodawish, Rhotia, Qurus, Issale, etc) wote ni wairaqw. Wadada wote warembo na wachangamfu ila hawakosekani wakimya kama huyo wako.

aksante sana na hongereni sana ni mrembo saaana sipati picha
 
wapendwa hata mm nimeoa muiraq yaan ni mkimya hadi naona nikiburi maana unapoongea nae hatoi ushrikiano had nashndwa kumuelewa na ukimuuzi anawezakulia had wki. na hw wanapenda san kuongea kiluga ht ukwpo.

bt nampenda sana shida ni hiyo coz mi napenda sana story shida kubwa kila kitu anaitaji mwongozo wangu
 
Mkuu ni wapare ndio wanafahamika kwa ubahili na kupenda kesi za mahakamani. Wachaga ni wazee wa kujirusha na sifa nyingi (maujiko). Kurudi kwenye swali lako kuna jamaa zangu walikuwa na experience ya mademu wa kiiraq. Kweli ni wakimya sana ila vile vile wataratibu na wenye mipango sana. Tatizo lao moja kama unavyosema ukimya ni wa kuogopa sana. Kuna mmoja alikuwa demu wake anamegwa for 4 years hakuwa anajua. Hata alipojua hakuamini maana piripirika pirika za ndoa zilikuwa mbioni ikaja kufahamika anabwana nje na ndoa ikafa kifo cha mende.

Mwengine huyu amemuoa kabisa yule demu wake wa kiiraq na wanaishi ndoa ya furaha sana.

Weakness moja wapo niliyoiona wanazimia sana wanaume wenye akili na uwezo. Hivyo kuwa makini ukimuoa jitahidi umaintain vitu hivyo otherwise akiwa mwanamke mapepe ushampoteza.

yap hii naikubali sana coz mi mwenyewe shule ipo tena ya maaana na mambo si mabaya nafikiri ndo maana ameamua kujweka kwangu
 
Hahahahaha!!!!!!is aga adosir qui,homa slemeroo a daktanar bahyen!!kibetoo gwe'der amuhung!!!!

Aloo, homar yayri aten ti loowa waqaqaa'; aloowa daktana asma n'gi hhuiaka gidabani aten a loowa sager kooma ne sagaloa sleme akoma...
 
Naona humu JF Wairaqw ni wengi kilugha inamwagwa tu, kwa mulizaji usiwe na shaka ukitaka kuoa uende kwao upafahamu, kwa ujumla ni wazuri(beauty) na wavumilivu na wapole. Kuna wengine wamechangia kuwa ni warahisi kukubali mambo ya kikubwa mi naona msiwahukumu kwa hilo kwani makabila yote siku hizi wako hivyo. Akina Daffi Laway o tsindoka

yap kwa mambo ya kikubwa ni tatizo kote ila huyu ilinichukua muda hadi kufunguka.
 
Obabew!! Lati iraqw kaloowaur bakae,oryok aning doren iimboru ayama'ami
itabidi nitafute mwalimu 1 awe anannifundisha hii lugha ili nisije semwa ahahaha triple A VIPI waweza saidia malipo yapo
 
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Mkuu Ogopa huo ukimya, hawa watu "Hawana maneno kabisaa" wako tayari kwa lolote na wakati wowote. Kama hujanipata shauri yako!
 
Dah! Hawa watu ni waachiaji sana and u will never know kwasababu wanaficha tabia zao kwenye ukimya na usiri wao. Ni wazuru mno kwa muonekano and wako live sana, when uko nao karibu ni raha kwa kwenda mbele ila behind that they are so nasty! But there are exceptional cases I believe.

nikiwa arusha kipindi hicho, niliowajua walikuwa na sifa hizi ...

1) wacha Mungu sana
2) wapole sana kwa muonekano ila ni wacheshi sana ukizoeana nao
3) wakarimu sana
4) ni wazuri na watamu mno (ukimpata na baada ya kukudengulia sana kumbe maji mara moja)
5) wanapendana sana kifamilia na ukoo
6) waachiaji kisirisiri sana (unaweza ukawa naye na bado kuna wa kabila lake akawa anammega)
7) opportunists / materialist (baadhi na wengi wao)
8) wana hasira sana sana sana sana (msisitizo uzingatiwe)!

inawezekana wako akawa tofauti, but kuwa makini!

best wishes!!
 
Dah! Hawa watu ni waachiaji sana and u will never know kwasababu wanaficha tabia zao kwenye ukimya na usiri wao. Ni wazuru mno kwa muonekano and wako live sana, when uko nao karibu ni raha kwa kwenda mbele ila behind that they are so nasty! But there are exceptional cases I believe.

Yuha ve nailed it kuna kabinti ka Iraqw nimetoka nak muda kiasi baadaye nikasafiri cha kustaaajabisha the same week niliyosafiria kamemegwa na jamaa yangu tuliyewahi kutoka naye kampan nikiwa na yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom