Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,791
Aisee nimewakumbuka kina Amsi, Da'ata, Tluway, Bura, Tlatla'a, Margwe, Ba'ata, Baha, Bungka'i, Lohi, Hhoki, ......... wote walikuwa warembo na wachangamfu na wanaendelea na ndoa zao vizuuuuuuuri. i believe hata Dena Amsi humu Jamvini yupo pooooooowa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Philomena, Perpetua, Catarina, Julieti na Martha....hawa ni baada ya kubatizwa lakini....