Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
hahahahaaa vigezo na masharti kuzingatiwa, hamna kunipiga kibuti! Lol!!
Hahahahaha....hamna kuchakachua!!!Enheeeee.................!!!!
hahahahaaa vigezo na masharti kuzingatiwa, hamna kunipiga kibuti! Lol!!
Mungi, Daffi na wengine hebu niambieni, kuna jamaa mmoja mwiraqw alikuwa analalamika sana, anasema mila za kiiraqw ni ngumu sana, imefika wakati sasa, wairaqw wenyewe kwa wenyewe kuoana ni shida, sheria kibao, kila mtu ukimtokea unakuja kujua ni ndugu, mnaita dawi sijui, kwahiyo kinachotokea sasa watu wengi wenzi wao ni makabila mengine, kwahiyo inawezekana kabisa kabila la kimbulu likapotea kabisa.
Nimesikia kuwa ni kati ya makabila yanayopotea kwa kasi na baada ya miaka kadhaa inaweza isiwepo.
Kwa mujibu wa history,iraqw is the only southen cushitic trible iliyoweza maintain culture yao!hiyo imewezekana coz hawakuwa wanapenda ingiliana na makiba mengine ya kibantu!they maintained their culture its now started deteriorating coz of the technology and globalization,including education!wengi wameolewa na wabantu na wengine kuanza poteza asili yao na kumezwa na makabila mengine ya kibantu kama vile wachaga,wapare,warangi,nk!turning into your point,siyo kweli sana na pia ni kweli kuwa kila unapoenda usipokuwa mwangalifu unaweza muoa ndugu yako who is blood related!hii inatokana na muingiliano uliopo na wengi wao kuelimika na kujiingiza ka mahusiano bila kuulizana,pia coz of population growth and spread inakuwa vigumu watu kuulizana na kufahamiana kiundani!therefore it depend with the situation!nahisi nimekujibu kidogo DASA"
dah hii balaa ila nafikiri ci tatizo kwani hata watoto watatoka ma handsom na mabeutyKitu ambacho nakiona na hii iwe tahadhali kwa wale wanaotaka kuoa au kuolewa na wambulu ni kwamba hii jamii ina damu kali sana, Ukioa au kuolewa na mbulu mtoto atakayezaliwa atakuwa na sura ya kimbulu tu piga ua, kwahiyo sura ya kimbulu huwezi kuipoteza kabisa, na hao watoto wakija kuzaa watatotoa sura za kimbulu tu. Labda mila zao tu za kimbulu ndio unaweza ukazipoteza kwa watoto.
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
haya mkuu ila tambua tabia za asili zipo na hata hasira hujidhiirisha pale wachokozwapo na hii haiondoi heshima ya m2 tetetetetheeeWeeh! ukome kuwapa makabila yenye heshima duniani tabia za ajabuajabu. Hakuna kitu kama tabia za kabila bali kuna tabia za mtu mmoja mmoja. Hicho unachofanya kinaitwa "stereotyping" ambayo sitarajii great thinker kuwa nayo.
sayuu,ulelehh xaye
swala ni % ww unafahmu kabisa kwamba hata watz tunasifika kwa ukarimu lakini si wote ni wakarimu and through generalization waweza pata kuanza kuangalia kimoja baada ya kingine and last you can conclude specificaly to an individual character. kule ukuryani si siri wengi wana hasira za karibu ila sio wote hata wahaya asilimia kubwa wako hivyo kama ulivoainisha na ndio starting point yako ktk kumchunguza m2 utakuwa unaondoa kimojakimoja mpaka kupata uhalisa wa tabia ya m2 husika. thats why niliitaji kupata tu picha kuhusu hawa wa2 kiujumla then nitaangalia kwa m2 husika kwake yy mengi anayo mpole sana ila ukianzisha mada mtaongea vizuri tu, ni msiri najaribu kumfanya awe muwazi kwa kumshirikisha ktk mambo yangu mengi, uzuri kwangu mm she is... so nimegundua mengi yaliyosemwa humu ni kweli na mengine naendelea kuyafanyia kazi kabla ya kujitosa ktk ndoa rasmiWhat a stupid argument!!
Japo huwa niko against Lizzy kwenye mada nyingi, kwa hii nakubaliana naye. Huwezi kutoa generalisations za mtu mmoja na kabila lake. Kwa mfano, kuna mtazamo kuwa wahaya wanapenda kujiboost, kujiona wako juu na masifa mengii na dharau kwa wengine. Lakini nimekaa na wahaya fulani hapa kazini kwangu mpaka nashangaa, wako very polite, wapole na wasiopenda makuu.
Wasichana wa Kiiraqw ni wazuri sana kwa sura na Mungu kawajalia hivyo. Like many other tribes, kuna ambao ni wema wapole sana tena wanaojiheshimu sana. Pia kuna ambao ni hovyo sana anaweza akakucheat mpaka ukome utakapogundua. Nigeshauri mtoa mada ajikite katika kujua tabia ya huyo mpenzi wake na sio kabila.
wapendwa hata mm nimeoa muiraq yaan ni mkimya hadi naona nikiburi maana unapoongea nae hatoi ushrikiano had nashndwa kumuelewa na ukimuuzi anawezakulia had wki. na hw wanapenda san kuongea kiluga ht ukwpo.
Kilugha kweli we proud our language man
Kilugha kweli beca
Jerrymsigwa said:Tatizo maji mara 1 kwishaaa..nlipokua kijana nimewala sana
Spendi kabisa misconductKilugha kweli we proud our language man
Kilugha kweli beca
Spendi kabisa misconduct