Wairaqw ndivyo walivyo?

Status
Not open for further replies.
Mpende jinsi alivyo.
Huko kwetu Mbulu (Aya Ma'ami', Sanu, Endagikot', Gehandu, Kansay, Kwermusl, Murray, Guwang, Bashay, Haydom, Endabash, Basodawish, Rhotia, Qurus, Issale, etc) wote ni wairaqw. Wadada wote warembo na wachangamfu ila hawakosekani wakimya kama huyo wako.
 
Daud, Kilimatembo, Dongobesh, Katesh, Kibaoni, Hydom....nk....kote huko wanapatikana wadada warembo
 
Umemaliza yote!ukimya wa mtu ni taabia yake!ukipenda ua penda tu na boga lake!kuwa jasiri na mchukuliane mlivyo!OVAA!!
 
Daud, Kilimatembo, Dongobesh, Katesh, Kibaoni, Hydom....nk....kote huko wanapatikana wadada warembo

luxmanda, ufana, secheda, basodesh, masakta, dareda, laqanedesh, orbesh, yayeda chini, masqarod, measkron, giting, gendabi, jorodom, nangwa, mogitu, simbay, balangda.
 
Mwenyewe nimemkamatia wa maeneo ya Daudi!mzuri,mpole,mvumilivu sana!yaani macho yake mwee!madogo ya duara!nywele ndo usiseme!kitu somali!copy and paste!
 
Hahahahaha!umenikumbusha mbali!'BALANG'DALALU'!Duh!pori niaje!ila kule sanasana utawakuta wamang'ati!
 
hakyamama.....hongera sana
 
Daud, Kilimatembo, Dongobesh, Katesh, Kibaoni, Hydom....nk....kote huko wanapatikana wadada warembo

Aisee nimewakumbuka kina Amsi, Da'ata, Tluway, Bura, Tlatla'a, Margwe, Ba'ata, Baha, Bungka'i, Lohi, Hhoki, ......... wote walikuwa warembo na wachangamfu na wanaendelea na ndoa zao vizuuuuuuuri. i believe hata Dena Amsi humu Jamvini yupo pooooooowa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahaha!umenikumbusha mbali!'BALANG'DALALU'!Duh!pori niaje!ila kule sanasana utawakuta wamang'ati!

Balangdalalu napakumbuka sana mkuu, nilifukuzwa boarding kwa ajili ya kumparua mrembo wa kisomali pale!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom