Wairaqw ndivyo walivyo?

Status
Not open for further replies.
Ndg ya yangu upo!upole ni taabia ya wairaq waliowengi,hawana taabia ya kujikweza,wavumilivu,watu wenye misimamo katika jambo wasiopenda kuyumbishwa,wazuri sana wa sura na taabia ila uzuri wao unawafanya waonekane kama hawajatulia maana wanasumbuliwa na wengi!Kwa ujumla ni watu ambao hawana makuu!ukiwapata uta'enjoy' maisha!Upo hapo shemeji??

Naas loale garma:)))
 
Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa makabila mf wakurya-hasira, wachaga-wabahili, wasambaa-maneno mengi n.k... ila hawa wairaque msaada tafadhali
Magoo, ukimya ni tabia zao, hivyo ndivyo walivyo, hawane neno kabisa hao, ni wewe tuu. Kabila hilo ni jamii za Wambulu, Warangi, Wahadzabe, Wataturu, Wabarbaig, Wanyaturu, Wabalungi na Wasandawe, yaani ni wa kimya na hawana maneno kwenye kila kitu.

Tatizo lao ni moja tuu, hawana roho mbaya, hivyo wengi huishia kuwa na huruma sana kufikia kiwango cha anapohitajika, hujinyamazia tuu ni wewe kushika mkono na kuendelea!
 
Pasco nakusahihisha hakuna kabila la wambulu kamwe? Namaanisha utasema sasa Wakaratu, wababath, wahanang' etc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom