Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Umeona eeehhh mie niko poa my dear..... upo?? Mekumisipo ujue? Go.... KuleeeeHahahahahhaa lol Dena naona unaamisha mizimu.lol
Vipi hali yako lakini ?
Umeona eeehhh mie niko poa my dear..... upo?? Mekumisipo ujue? Go.... KuleeeeHahahahahhaa lol Dena naona unaamisha mizimu.lol
Vipi hali yako lakini ?
naunga mkono hojawe we we weee....masahihisho........wapare-wabahili
#1,2,3,4 sawa kabisa.. #6 ndo yanifanya nimuangalie kwa macho yote 2 coz kabla sijakutana naye kimwili aliniambia hajawi kudooo ila nilivyokutana naye kweli inshu ilikuwa imebana sana laikin hakuwa virgin hapo ndo mashaka yalikoanzia baada ya kumbana sana akasema aliwai kuumia kwenye baiskeli zamani huwa nakaa naye hata wiki ila sioni dalili za kuwa na mawasiiiano na m2 mwingine ila #6 ntaifanyia kazi
Mkuu ni wapare ndio wanafahamika kwa ubahili na kupenda kesi za mahakamani. Wachaga ni wazee wa kujirusha na sifa nyingi (maujiko). Kurudi kwenye swali lako kuna jamaa zangu walikuwa na experience ya mademu wa kiiraq. Kweli ni wakimya sana ila vile vile wataratibu na wenye mipango sana. Tatizo lao moja kama unavyosema ukimya ni wa kuogopa sana. Kuna mmoja alikuwa demu wake anamegwa for 4 years hakuwa anajua. Hata alipojua hakuamini maana piripirika pirika za ndoa zilikuwa mbioni ikaja kufahamika anabwana nje na ndoa ikafa kifo cha mende.
Mwengine huyu amemuoa kabisa yule demu wake wa kiiraq na wanaishi ndoa ya furaha sana.
Weakness moja wapo niliyoiona wanazimia sana wanaume wenye akili na uwezo. Hivyo kuwa makini ukimuoa jitahidi umaintain vitu hivyo otherwise akiwa mwanamke mapepe ushampoteza.
Gamamirah!
GarmahGamamirah!
hao jamaa kilugha chao tu loh...Waweza dhani wanatafuna chupa ama viwembe wakiongea

Gha'ayoh
Jamaa alivutaga huyoGarmah
Hawana antena ama sijaelewa vyema.Umekaa nae muda gani mpaka ukimya wake ukutishe? Usimhukumu mtu kwa kabila lake, mhukumu mtu kwa matendo yake maana naona umetoa mlolongo wa makabila na tabia zao. Haya sas tabia za wanawake wa kiiraq ni malaya, wajasiri na wasiojutia maamuzi magumu, wana roho mbaya na nasikia wengi wametahiriwa. Kwa uzuri hapi umefika, nywele wengi utafiki mwarabu, warefu, weupe, macho mwororo. Haya chagua kusuka au kunyoa.