Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Ni kwa nn?
Kimaumbele mwanamke anauwezo wa kukaa muda mrefu sana bila kusikia hana ya kufanya mapenzi, kwa mwanaume haipiti hata week siku 3 tu anahamu ya ajabu! Kwa hiyo mwanaume anazidiwa!
 
chezea dushe ww likiingia lzima kichaa atulie kuhisi utamu murua
 
Mwanaume akiwa na Geny£ akili zake zinakuwa kama za mnyama, kila mwanaume alie kamilika asilimia kuwa aliwahi kutembea na mwanamke baadae akajuatia sana. Hii ni kawaida sana.
 
Kimaumbele mwanamke anauwezo wa kukaa muda mrefu sana bila kusikia hana ya kufanya mapenzi, kwa mwanaume haipiti hata week siku 3 tu anahamu ya ajabu! Kwa hiyo mwanaume anazidiwa!
So akizidiwa ndo anaparamia mpk vichaa?
 
Mwanaume akiwa na Geny£ akili zake zinakuwa kama za mnyama, kila mwanaume alie kamilika asilimia kuwa aliwahi kutembea na mwanamke baadae akajuatia sana. Hii ni kawaida sana.
Ila mimi sijawahi kujutia
 
Kuna jamaa aliwahi kumpenda sana demu mmoja hivi. Ila kwa bahati mbaya hawakuweza kuwa pamoja kimaisha ( upande mmoja wa ndugu uliukataa upande mwingine sababu ya ukata).

Ikabidi wapenzi hawa watengane ingawa waliumia sana,na binti akatafutiwa jamaa mwingine. Ila baada ya muda na hustling yule mwanaume wa kwanza life likawa njema,akajaribu sana kumtafuta mpenzi wake bila mafanikio.

Kuna siku mida ya mchana wakati anatoka kupata lunch,akiwa kwenye foleni road,ghafla hisia zinamwambia shusha kioo angalia nje.

Anafanya hivyo,anavutiwa na kichaa aliyekuwa anavuka barabara kuja upande wake. Wakati yule kichaa analipita gari lake,moyo unamuenda mbio jamaa,anazidisha umakini. Macho hayataki,ila moyo unamwambia ndiye yeye.

Bila kujiuliza,jamaa anatoa gari barabarani. Anashuka na kuanza kumfatilia. Safari yao inaishia kwenye jumba moja bovu bovu lisilokuwa na bati.

Moyo ukipenda kamwe huwezi kuudanganya. Jamaa akili inamwambia ondoka,lakini moyo unaacha kusukuma damu na unakumbushia jinsi walivyokuwa na furaha kipindi hicho.

Kila akipiga hatua kutaka kuondoka,moyo unamwambia "Please don't leave,you can change her, ungekuwa wewe asingeweza kukuacha"

Jamaa anaamua kuusikiliza moyo. Anamfuata yule mpenzi wake wa zamani ambae sasa ni kichaa. Anajaribu kumuongelesha but response ni negative. Anaamua kuondoka ili awahi job.

Jioni anajaribu kupitia tena eneo lile. Anamkuta kichaa wake kajaa tele. Anampulizia dawa ya usingizi,anampakia kwenye gari mpaka kwake. Anamsafisha na kumfanya arudie kwenye urembo wake.

Anajaribu kumshirikisha daktari wake. Majibu ni kwamba kurudia katika hali ya kawaida ni ndoto. Jamaa anakuwa mnyonge ila anakubaliana na hali.

Anaishi nae hivyo hivyo,ingawa mara nyingi kila akirudi nyumbani hukuta katoroka na kurudi kule kule mtaani. Jamaa hakati tamaa. Moyo ukipenda chongo uita kengeza,mapenzi yake yakaongezeka kwa yule kichaa. Baada ya kumfanyia vipimo vya afya na kukuta yuko clean akawa anatembea nae kama mtu wa kawaida ( wakubwa mtaelewa)

Wabongo wabaya sana. Hata alipotokea mtu wa tatu haifahamiki. Jamaa alipokuwa akienda kazini,binti akili zinamtuma kurudi mtaani maana sio timamu,akiwa njiani anatokea jamaa ( mtu wa tatu) anamshika mkono yule kichaa na kumuingiza ghetto kisha anajipigia( kumbuka sasa hivi kimuonekano yuko vizuri maana anatunzwa)

Baada ya muda binti anapata mimba. Bwana wake anafurahi kuona atleast atabaki na kumbukumbu ya mtu aliyempenda sana chini ya jua.

Kumpeleka hospitali ili akawe chini ya uangalizi mzuri wa manesi. Baada ya vipimo majibu ni ujauzito wa miezi mitatu lakini cha kusikitisha pia ni kwamba yule binti was tested positive for HIV.

Jamaa anashangaa na kulia sana. HIV? How?

Binadamu binadamu binadamu!!

Kumbe mtu wa tatu he knew them all ( jamaa na yule binti)

Huwa nikikumbuka the reason why mtu wa tatu aliamua kufanya hivi kuna kitu kinanikaba kooni.

Mwisho wa lovebirds hawa ndio huwa unanisikitisha sana. Hasira zikishuka ntawamalizia walikoishia.

Pure love
 
Ni wale wasio na roho za huruma kwa sababu mtu ameshakuwa kichaa bado unazini nae hadi unampa mimba hiyo ni roho ya kishetani kwa sababu tayari ni mgonjwa bado unamuongezea jambo ambalo mara nyingi ni ngumu kulimudu kwa hali yake.
kichaa ana haki kama mtu mwingine.
 
Ah ah ah ah ah dunia ina mambo hadi vichaa watu.wanamega au mashart ya kichawi??
 
Kuna jamaa aliwahi kumpenda sana demu mmoja hivi. Ila kwa bahati mbaya hawakuweza kuwa pamoja kimaisha ( upande mmoja wa ndugu uliukataa upande mwingine sababu ya ukata).

Ikabidi wapenzi hawa watengane ingawa waliumia sana,na binti akatafutiwa jamaa mwingine. Ila baada ya muda na hustling yule mwanaume wa kwanza life likawa njema,akajaribu sana kumtafuta mpenzi wake bila mafanikio.

Kuna siku mida ya mchana wakati anatoka kupata lunch,akiwa kwenye foleni road,ghafla hisia zinamwambia shusha kioo angalia nje.

Anafanya hivyo,anavutiwa na kichaa aliyekuwa anavuka barabara kuja upande wake. Wakati yule kichaa analipita gari lake,moyo unamuenda mbio jamaa,anazidisha umakini. Macho hayataki,ila moyo unamwambia ndiye yeye.

Bila kujiuliza,jamaa anatoa gari barabarani. Anashuka na kuanza kumfatilia. Safari yao inaishia kwenye jumba moja bovu bovu lisilokuwa na bati.

Moyo ukipenda kamwe huwezi kuudanganya. Jamaa akili inamwambia ondoka,lakini moyo unaacha kusukuma damu na unakumbushia jinsi walivyokuwa na furaha kipindi hicho.

Kila akipiga hatua kutaka kuondoka,moyo unamwambia "Please don't leave,you can change her, ungekuwa wewe asingeweza kukuacha"

Jamaa anaamua kuusikiliza moyo. Anamfuata yule mpenzi wake wa zamani ambae sasa ni kichaa. Anajaribu kumuongelesha but response ni negative. Anaamua kuondoka ili awahi job.

Jioni anajaribu kupitia tena eneo lile. Anamkuta kichaa wake kajaa tele. Anampulizia dawa ya usingizi,anampakia kwenye gari mpaka kwake. Anamsafisha na kumfanya arudie kwenye urembo wake.

Anajaribu kumshirikisha daktari wake. Majibu ni kwamba kurudia katika hali ya kawaida ni ndoto. Jamaa anakuwa mnyonge ila anakubaliana na hali.

Anaishi nae hivyo hivyo,ingawa mara nyingi kila akirudi nyumbani hukuta katoroka na kurudi kule kule mtaani. Jamaa hakati tamaa. Moyo ukipenda chongo uita kengeza,mapenzi yake yakaongezeka kwa yule kichaa. Baada ya kumfanyia vipimo vya afya na kukuta yuko clean akawa anatembea nae kama mtu wa kawaida ( wakubwa mtaelewa)

Wabongo wabaya sana. Hata alipotokea mtu wa tatu haifahamiki. Jamaa alipokuwa akienda kazini,binti akili zinamtuma kurudi mtaani maana sio timamu,akiwa njiani anatokea jamaa ( mtu wa tatu) anamshika mkono yule kichaa na kumuingiza ghetto kisha anajipigia( kumbuka sasa hivi kimuonekano yuko vizuri maana anatunzwa)

Baada ya muda binti anapata mimba. Bwana wake anafurahi kuona atleast atabaki na kumbukumbu ya mtu aliyempenda sana chini ya jua.

Kumpeleka hospitali ili akawe chini ya uangalizi mzuri wa manesi. Baada ya vipimo majibu ni ujauzito wa miezi mitatu lakini cha kusikitisha pia ni kwamba yule binti was tested positive for HIV.

Jamaa anashangaa na kulia sana. HIV? How?

Binadamu binadamu binadamu!!

Kumbe mtu wa tatu he knew them all ( jamaa na yule binti)

Huwa nikikumbuka the reason why mtu wa tatu aliamua kufanya hivi kuna kitu kinanikaba kooni.

Mwisho wa lovebirds hawa ndio huwa unanisikitisha sana. Hasira zikishuka ntawamalizia walikoishia.

Pure love
Nimeishiwa poozi
 
Nilidhani ni Deo Kisandu ila na wewe pia ukapimwe akili zako
 
Back
Top Bottom