Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,238
- 3,020
Yupo mmoja alijifungulia kcmc baada tu ya kutoka labour hakuonyeshwa mtoto na wala hakukumbka chochte kuhusu mtoto wake alirandaranda wodin alipopata afya akasepa zake kabla hata ya kuruhusiwa yule mtoto alichukuliwa na masista wa kkkt analelewa huko kwny kituo cha malezHivi uwa wanajifungulia wapi?