Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Kinachonishangaza ni nani huwa anawasaidia wakati wa kujifungua? Na malezi ya watoto inakuaje?
 
Obvious sio wanawake, kwahiyo muweke kikao mhojiane wenyewe.
Akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Kila binadam ana asilimia Fulani ya ukichaa so kichaa kikipanda anaweza kufanya tukio lolote,popote na wakati wowote,laweza kuwa ubakaji,wizi mauaji ugomvi,no,so usishangae kichaa kuwa na mimba.
 
Mbona hakuna mwanamke mzima anayepewa mimba na kichaa?
 
Back
Top Bottom