Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Inasikitisha sana,Duniani kuna watu wana roho ngumu kama sio mbaya!
Btw you get what you fucking give
 
Hapo ndo uamini Ukiendekeza zile Akili za kichwa cha chini unakuwa zaidi ya kichaa!
 
Ni wanaume hawa hawa wenye akili timamu kbs ndio wanaofanya hivyo.
 
Wala haihusiani na mateja wala wahuni, hii ni kwa watu wenye akili zao timamu
 
Kama wanaweza kulala na mbwa, mbuzi watashindwaje kulala na vichaa, kile kichwa cha chini kikikaimu uongozi akili zao husoma Zero.
Ole wako yukutane kona fulani fulani naangalia kushoto kulia hakuna mtu omba ardhi ipasuke vinginevyo chaliiiii
 
Huku kwetu kulikuwa na dada mmoja kichaa halafu kafariki kwa VVU bilashaka hii ni kaz ya mateja maana wao hawana tena self estem hivyo hawachagui
 
wahusika ni wanaume
We chakula inambwelmbwela nje kwa nini usiitafune
K yenyewe tamu hivyo
Haina ukichaa hiyo nikuipiga tu
Vp kuhusu magonjwa ya zinaa km gono na mengineyo ukizingatia mazingira yenyewe yalivokua ya uchafu
 
Back
Top Bottom