Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Nenda aisee,ukileta feedback nzuri nami nitakuja
 
Ni watu na akili zao timamu, vichaa mchana wanaonekana wabovu kila usiku wanatafutwa vizuri sana tena kwa chakula kitamu.
 
kuna movie ya nigeria jamaa alimbaka kichaa akapata mimba baada kichaa kujifungua jamaa akaenda usiku kumchukua mtoto dah kichaa kuamka asubuhi mtoto wake hamuoni
 
kuna movie ya nigeria jamaa alimbaka kichaa akapata mimba baada kichaa kujifungua jamaa akaenda usiku kumchukua mtoto dah kichaa kuamka asubuhi mtoto wake hamuoni
Duh
 
Wanaowapa mimba ni vichaa wenzao maana chizi sio lazima aokote makopo hata kumpa chizi mimba ni uchizi
 
Tunakuhitaji kituo cha kati kwa mahojiano
Katika vichaa saba nilioshuhudia wakiwa na mimba/watoto, wanne kati yao inasemekana wahusika maaskari polisi...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duh,nitajaribu kumkiss kwa ishara nikimuona
 
Back
Top Bottom