Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

mimi habari za kihuni zinazoletwa na wahuni siziamini,.....
 
wahuni wataendelea kupata credit kama hali ndo hii, ina maana dawa ni kuchapwa na wahuni?

Wahuni ndio wanapatikana na wana muda wa kutosha,halafu wanajua mambo ile mbaya!!!!!
 
Mi wangu nikishaoa naenda kigoma kwanza kupewa ile kitu ya kunasa, ole wake mtu ammendee mke wangu halafu mnasane, kama huna milioni 5 papo hapo, sichomoi kisu.
 
Wahuni ndio wanapatikana na wana muda wa kutosha,halafu wanajua mambo ile mbaya!!!!!

Lakini wahuni si wanaambulia makombo mme keshakula mpaka kakinai ndipo mhuni naye kaja kulambalamba uchafu utadhani kambwa flan hivi kapo jalalani kanalamba mifupa, chukua kitu new brand bana...!!
 
muosha huoshwa,,,,,.... nacctiza tena watembee na wese kabisa.......maana dawa yao wanaijua........
 
Lakini wahuni si wanaambulia makombo mme keshakula mpaka kakinai ndipo mhuni naye kaja kulambalamba uchafu utadhani kambwa flan hivi kapo jalalani kanalamba mifupa, chukua kitu new brand bana...!!

Hiyo kitu haina makombo tena siku ya kukutana anajiandaa wiki moja kabla,kila kitu kipya c.h.u.p.i mpya,pafyum na staili mpya hahaaaaa!!!!!!,wewe utabaki hapo na kifo cha mende
 
Jana nilikuwa sehemu nimekaa na kupiga story na wahuni fulani, mhuni mmoja akaibuka na story, alikutana na mke wa mtu, mke mwenyewe yupo fiti na ana usafiri wake na biashara zake, kifupi mke wa mshua hapa town,

Mhuni akampiga sound, akatoa namba ya simu kwa mashariti asimpigie usiku, mwisho wa kupiga saa 12, mhuni akaendelea kuchat sana, huku akichomekea hapa na pale, siku ya siku mke wa mshua akala ndoano, mhuni alisema alimpa ujuzi wote, eti nilikuwa nazama hadi chumvini,

Nilimpagawisha hadi mke wa mshua akawa anasema mme wangu hanifanyii haya, mhuni anasema anaendelea kula mzigo na mke wa mshua kadata. Haya sasa washua, wahuni wanajituma kuliko maelezo.

Watajituma zaidi wakipata UKIMWI. 90% ya unaowaita washua ni HIV POSITIVE, hawafi haraka kwa sababu wana pesa hivyo wanakula vizuri na kupata matibabu mazuri.
 
Back
Top Bottom