Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

Jana nilikuwa sehemu nimekaa na kupiga story na wahuni fulani, mhuni mmoja akaibuka na story, alikutana na mke wa mtu, mke mwenyewe yupo fiti na ana usafiri wake na biashara zake, kifupi mke wa mshua hapa town,

Mhuni akampiga sound, akatoa namba ya simu kwa mashariti asimpigie usiku, mwisho wa kupiga saa 12, mhuni akaendelea kuchat sana, huku akichomekea hapa na pale, siku ya siku mke wa mshua akala ndoano, mhuni alisema alimpa ujuzi wote, eti nilikuwa nazama hadi chunvini,

Nilimpagawisha hadi mke wa mshua akawa anasema mme wangu hanifanyii haya, mhuni anasema anaendelea kula mzigo na mke wa mshua kadata. Haya sasa washua, wahuni wanajituma kuliko maelezo.

Nilikuwa nahisi tu kumbe kweli. Sasa we Ndio utanisaidi kunionesha nani anamla wife ili nimtafutie Vijana wamle. Usiponionesha nakukula wewe
 
mkuu mimi sishiriki huu ujinga, hapa nimeleta taarifa tu, kila mtu azifanyie kazi kwa namna yake.

Ahaaa.... acha uoga wewe ....usichukulie mambo hapa@JF so serious like that ....utapata "depression" bure mkuu JEKI
 
Last edited by a moderator:
Angalia movie inaitwa...UNFAITHFUL Ndo utajua wahuni wanafanywaga nini baada ya kuchovya wake za watu.
 
Angalia movie inaitwa...UNFAITHFUL Ndo utajua wahuni wanafanywaga nini baada ya kuchovya wake za watu.
Exactly mkuu, dawa ya "wahuni" wanaolala na wake "wasiojitambua" ni ile ya movie ya UNFAITHFUL. Kitu limeolewa lakini kutwa kucha kukitembeza nje...!
 
hazijaja maji mkuu,mtu mpaka amegewe ina maana kashamsahau mkewe naye kahamia nyumba ndogo

Sio wakati wote kiongozi, Kuna wadada hata wapewe nini, kukitembeza ni hulka yao...!
 
Back
Top Bottom