miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Na hao wanaomegwa ovyo akili zimejaa maji tu...
na wanaomega zaidi akili zenu zimejaa genye
Na hao wanaomegwa ovyo akili zimejaa maji tu...
Acha wamegewe tu, na wamegewe sana!!!
Hahahahaaaa, kuchapiwa ni siri ya ndani but wengi tunayataka wenyewe, mme 7 days unaamka saa 12 asubuhi kurudi saa 6 usiku, weekend uko kwenye vikao vya harusi, huna muda na wife wako wategemea nini, usiku wenyewe ukirudi unadai kuchoka sana sana utampa cha kulaximisha unageukia ukutani, unategemea nini!!!
Jamani ndoa zina malengo mengi, kuna mtu anaoa kwa sababu ya watoto na kutunziwa nyumba na Mali nyingine.
kama watoto ameshapata papuchi anawaachia wahuni waangaike nayo ye anaangaikia pesa na ustawi WA maisha ya wanawe.
We unasema unaiba na yeye anasema bora angetokea mhuni anisaidie kusugua.
Most of men wanasahau kwamba malipo ni hapahapa duniani, umezoea kuchapa wa wenzio jua na wako utachapiwa tu, kama si mkeo binti zako watachapwa kinoma, usilaumu muda ukiwadia.
Hakuna jipya, huyu maza ni kicheche na alijitongozesha yeye mwenyewe. Unavyompa mtu namba yako ya simu maana yeke utahitaji kuwasiliana naye. Pili unapotoa masharti ya muda wa kukupigia maana yake ushajua mada mtakayokuwa mnaongelea. Ni mfusika tu wala umaarufu wa mumewe hauhusiki hapa. Wadada na wamama ni uamuzi wenu. Unayeamua kutulia tulia, unayeamua kuchepuka chepuka. Maisha ni yako uamuzi ni wako ILA USIIGE
yaani wapigwe tu.... una roho ngumu sana wewe dada.
ndiyo maana mnakosa madili mjini kupewa namba tu unawaza kumvua pichu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Jana nilikuwa sehemu nimekaa na kupiga story na wahuni fulani, mhuni mmoja akaibuka na story, alikutana na mke wa mtu, mke mwenyewe yupo fiti na ana usafiri wake na biashara zake, kifupi mke wa mshua hapa town,
Mhuni akampiga sound, akatoa namba ya simu kwa mashariti asimpigie usiku, mwisho wa kupiga saa 12, mhuni akaendelea kuchat sana, huku akichomekea hapa na pale, siku ya siku mke wa mshua akala ndoano, mhuni alisema alimpa ujuzi wote, eti nilikuwa nazama hadi chunvini,
Nilimpagawisha hadi mke wa mshua akawa anasema mme wangu hanifanyii haya, mhuni anasema anaendelea kula mzigo na mke wa mshua kadata. Haya sasa washua, wahuni wanajituma kuliko maelezo.
kwisha mjadala. mkuu umemaliza.
Huyu si kamegwa au mimi sijasoma vizuri? Mimi nina namba za wamama wengi tu wafanya maamuzi lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunipa masharti ya muda wa kupiga na hakuna hata mmoja niliyewahi kumpigia usiku kwa kitu ambacho kingeweza kungoja kesho. Huyu maza ni kicheche tu usimtetee Miss Chagga
wagongwe na JEKI au ?
Acha wamegewe tu, na wamegewe sana!!!