Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Nimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Haya basi mfate huko motoni alipo
 
Kwa hiyo kila mtu akitakata kujua kwa nini jiwe anapendwa inabidi asafiri kwenda kuwatafuta hao wanaompenda aanze kuuliza?!
Jiwe ndiye nani? Kama unaongelea jiwe basi hutolipata huko. Nikajua unaongelea vitu vya maana,kumbe mawe!!!
 
Nimegundua wanasiasa wengi wa Nchi hii ni Majizi ya pesa za Umma.Ila tutamkumbuka sana Magufuli hasa mm binafsi Kwa kz nzuri aliyotufanyia sitabadilika hata siku Moja juu ya huyu Shujaa wa Afrika Mzalendo wa kweli juu ya Nchi yake Tanzania.
Shujaa wa Africa ,aliifanyia nini Africa mpaka mumuite shujaa wa Africa? Kuna nchi zozote alizikomboa /saidia kupata uhuru wake?
Sema shujaa wa Chato
 
Shujaa wa Africa ,aliifanyia nini Africa mpaka mumuite shujaa wa Africa? Kuna nchi zozote alizikomboa /saidia kupata uhuru wake?
Sema shujaa wa Chato
Kama tu aliyoyafanya hapa nchini huyaoni utayaona ya nchi nyingine usiwe mtumwa wa ubaguzi na wizi wa Mali za umma fanya kz.
 
Wewe ndiye ambae huna unalolijua na hili limethibitika kwa kushindwa kwako kujenga hoja.Leta hoja na siyo viroja.
Kama una akili timamu unaweza kuibua hoja juu ya tril 1.5 wakati PAC walitoa majibu na Zitto akapata aibu kubwa. Huna akili we mpuuzi mkubwa.
 
Kama una akili timamu unaweza kuibua hoja juu ya tril 1.5 wakati PAC walitoa majibu na Zitto akapata aibu kubwa. Huna akili we mpuuzi mkubwa.
Hujaweza kujibu swali langu la msingi kwa sababu mpuuzi mkubwa ni wewe.

Hakuna sheria inayowapa PAC wajibu wa kujibu hoja za CAG.Hoja za CAG zinapaswa kujibiwa na serikali ambao ndiyo waliotumia pesa.
 
Back
Top Bottom