Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Ni Nani
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Ni nani asiye mhuni huko CCM
 
Bora aliyetuibia 1.5 trillion ila alifanya mengi tumeyaona na atakumbukwa kuliko yule aliyetembea na bakuli miaka 10 hatujuwi alipewa sh ngapi? Na katuibia sh ngapi? Hatujuwi kama alikuwa anakuja nazo na kutokomea nazo hatujuwi alichotufanyia watz na deni aliloacha wala haviendani? Na miradi aliyotufanyia
Mengi aliyofanya Bwana Chato tukayaona na atakumbukwa nayo ni:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko.
20211229_150956990.jpeg
20211229_150347925.jpeg
 
Kile ulichoandika kuhusu mimi na hidden identity uliona ni una akili kubwa?? While ww mwenyew una hidden identity?? Think before replying!!!!

EITHER una memory loss problem OR una faulty thinking syndrome. Wewe si ulitaka watu waseme uchafu wa mkosoaji, ambaye anajifanya msafi huku akiwa amejificha nyuma ya keyboard? Kwa akili ya kawaida tu, uliona hilo linawezekana?
 
Nini kinashindikana chini ya jua? Kama yeye alisema uchaf wa mwingine naww waeza sema uchafu wake pia. Sasa mamb ya hidden identity yakatoka wap? Wew mwenyew umejificha na fake ID😂😂😂😂😂
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Huu uzi naunga mkono 100% upo sahihi mwenye akili kubwa asiyeendekeza chuki atakuelewa
 
Nini kinashindikana chini ya jua? Kama yeye alisema uchaf wa mwingine naww waeza sema uchafu wake pia. Sasa mamb ya hidden identity yakatoka wap? Wew mwenyew umejificha na fake ID

Again, una shida ya kufikiri. Unawezaje kulinganisha ukosolewaji wa kiongozi anayefahamika bayana na ukosolewaji wa mtu anayebwabwaja akiwa amejificha nyuma ya keyboard?
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Mtaendelea kumkumbuka mfadhili wenu lkn ndiyo hivyo kashaitwa na muumba mbingu na dunia
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Magufuli alijichafua kwa matendo yake maovu dhidi ya BINAADAM
Kushambuliwa kwa tundu lisu
Kupotea kwa ben Sanane, Anzory Gwanda
Kuuwawa kwa Akwilin.
Kubinya uhuru wa habari na siasa.
Kuiba uchaguzi/Kura
Dharau, kibr na majivuno
Hata mfanyaje halisafishiki hilo DUBWASHA
 
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
Hiyo moja, sasa ukisha mchafua Hayati wetu UNAPATA NINI!? Zaidi sana tunakuona kama MJINGA MMOJA asiye na GUTS za kusema watu wakiwa hai! Kwa sasa hawatuwezi Watanzania na haturudi nyuma - NO RETREATE NO SURRENDER! Hakuna wa kugeuka JIWE hapa!
 
Mengi aliyofanya Bwana Chato tukayaona na atakumbukwa nayo ni:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.
Kwa vile aliletwa na Mungu na kuchukuliwa na Mungu, kazi iliyomleta aliitimiza, mwendo akaumaliza. Bwana alileta Bwana ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe...sema Amen.
2.Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.
16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.
Do you have any evidence to prove this?. Kumsingizia marehemu ni dhambi ambayo haisameheki!, subiria tuu karma yake!
Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko.
This is the consecration of the dead!, ni kosa la jinai!.

Kwa kukusaidia, karibu mitaa hii Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Back
Top Bottom