Shida ni utoto na kutokujiamini. Pia hata mleta mada nina wasiwasi hajawai kusoma open university ila kaja kupima upepo , nakumbuka mada zao za hapa jf eti chuo bora tz ni xxxxx...ni utoto tu.
Binafsi mimi naelewa vitu vingi ndio maana siwezi kubishana kama mtoto apa jf. Tuwaachie first year vyuoni ndio waendelee na mada zao apa jf ila wakihitimu waje sokoni ndio watajua quality education na quality "varsity.
Binafsi digrii yangu ya kwanza nilifanya uhasibu chuo kikuu. Baada ya kuajiriwa nilifanya LLB open university, nililogundua ni mambo mazuri plus no spoon feeding, ...hakuna cha lecturer ananitaka wala kufeli ukaanza sijui coz lecturer nilimchukulia demu wake NO. Hamkutani na mwalimu mpaka siku ya assessment . Out hukutani na mwalimu darasani kukueleza alichokariri yeye , na paper ikija ni aidha umesoma au hukisoma. Pia open hata kwenye sheria HAKUNA OPEN TEST wala kuingia na katiba wala document yoyote. Unaingia na pen na kichwa chako. Hujui vifungu inakula kwako unlike all other universities MSOMI UINGIA NA KILA LEGAL DOCS.
Wakati nimehitimu LLB nilifanya sana na vijana wa mwanasheria mkuu...kuna siku nilishangaa wahitimu wa the said proud varsity tena advocates hawajui kuwa RAIS ANA MAMLAKA YA KUSAMEHE KOSA LOLOTE LILE TANZANIA.
Tulibishana mpaka tukaenda kwa inchaji naye akabisha. Kasimama eti kijana ivi unajua apa mm bosi eeh? Sheria sijasomea kichochoroni...( apa tena alikuwa anacheka kwa dharau sijawahi kuona)...
Akaapa UKINIONESHA POPOTE , NATOA MSHAHARA WANGU MZIMA MWEZI HUU...(fikiria inchaji anajiapiza vile!!!??) ...isiwe tabu , following day nikazama na katiba yangu kwa boss... Kilichotokea ni stori ndefu na mpaka leo kila mtu ana salute!!
Vijana someni tukutane uku sokoni/ practice. Achaneni na mada za kudadisi dadisi kisa umesoma uingereza au sijui makerere , sijui wapi, SOMENI THEN MJE SOKONI NDIO TUTAJUA CREAM NA RESIDUE!!,
Gsana.