Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Usiandike kwa kuongozwa na hisia tu. Uandishi kama huo ndo umemponza Max.

Hunijui mimi ni nani wala sina sababu ya kuweka CV yangu ila bandiko na hoja zangu humu jamvini zitakusaidia kujua mimi ni nani.

Kuandika makala ya utafiti "scientific paper" ni sehemu ya kazi ya utafiti ili watafiti wengine iwawezeshe kupitia tafiti yako kuthibitisha matokeo uliyoyapata (replication).

Jitambue kwanza kabla ya kujibu humu. Na pia jibu kwa hoja.
vyeo vinawadanganya wasio na uelewa
huwafanya kutetea yasiyotakiwa, kuenenda kinyume na hali halisi

My take;
keep your title behind ukiwa unajibizana na usiye mfahamu, alaf speak your mind ......usiseme ulichojazwa
 
Tanzania badala ya kuchukua threat kama tahadhari, tunaamua kufanya siasa. Soon the symptoms are cases zitaanza kutuumbua kama Dr. Marcela was right or wrong
 
Noted and thx. Indeed you have a befitting ID!
mwengeso, kuwa mvumilivu. Wavumilie watu mnaotofautiana. Mungu tunavyotofautiana naye angelitoa hukumu tusingelisismama. Nimesikitika sana kunitishia na madaraka yako. Si ajabu nakujua! Wavumilie wenzako, watoe mawazo as long as hawavunji sheria, maadili, mila na desturi nzuri. Kesho tuuone ufalme wa Mungu kwa haki.
 
Binafsi tatizo sio finndigs tatizo ni uwakilishaji wa hizo findigs...kwa weyeji wa kanda ya ziwa wana ufahamu wa aina baadhi ya watoto wanaozaliwa na kuonekana na mwonekano wa dalili za Zika.Kuna vijana baadhi tumekua nao miaka na miaka na kama wanavyosema wataalamu Zika iligundulika Tanzania miaka ya 1950.

Kosa la DK Mwele ni kushidwa kuangalia Historia ya Nchi dhidi ya ugonjwa huo ambao kwa Duniani yani mazingira mengine ugonjwa huo umekua marked kama ugonjwa hatari kwa binadamu.Yeye kachukua findings hizo na kuzalisha taaarifa kwa umma yai PUBLIC na hakuzingatia madhara ya kutangaza taarifa hizo Kimataifa na mapokea ya Mataifa mengine juu ya Taarifa hizo ambazo zitapelekea kuathiri uchumi wa Taifa..wakati kiukweli alichokitafiti kiko kwenye maisha ya Watanzania miaka na miaka.

Watanzania wanaishi na Mabusha na Matende huku wagonjwa wakipata matibabu bila tatizo.Hivi ikitokea jiji la New York Marekani ama London Uingereza watu wakaugua ugonjwa wa Mabusha na Matende nina hakika ugonjwa huo utakuwa ni wa Dunia kitaarifa na macho yote yatawekwa kila mahari kuakikisha vimerea vile mtu yoyote alie navyo havuki kuingia Marekani au Uingereza ..Je lakini Tanzania nasi tuemuke kuchukua taarifa zile zile za Marekani ama Uinngereza kama ni Taarifa za Watanzania kuona janga limetufikia na hivyo kupambana kufa na kupona na kuweka Kalantini na kuzuia Shughuri zingine za uchumi kisa kuna ugojwa wa Zika..Nooooo Hapana Big Noooooo.

Mmasai na Mkurya wanaruhusiwa kutembea na kisu ama Rungu jaribu wewe Mpogoro kutembea nacho kama defender aijakuchukua ...kwaii hilo ni kwa sababu ya historicak background...ina justify wao kuwa nazo..Uenda ni kweli tua case ya Zika lakini Kitanzania mapokea yake ni tofauti.

Kuna Mwalimu wangu A level alikua ananifundisha Hesabu ni mjapani siku moja akaugua Mafua [Flu]...hoooo bahati nilikua niko karibu nae kama Mwalimu na rafiki yake...akanipigia simu na kuniomba niwataarifu ubalozi wake kuwa anaumwa sana na wakati wowote akizidi sana basi wajiandae kumludisha nyumbani...Muda wote tunapita katika hatua hizo kwangu ni kicheko mnoooo ukiweka na akili ya Kisekondari nilikua nacheka mpaka machozi kwanimi kwa kuwa Kiafrika kuugua mafua na ukasema unaumwa tena kanda ya Ziwa eti ukaomba udhuru kuwa unaumwa sababu ya mafua wanaume watakucheka na utaonekana wa ajabu sana..Lakii kiukweli kwa wenzetu Mafua ni ugonjwa hatari sana kwao ni moja ya ugonjwa unaowekwa kwenye makudi hatarishi kuondoa uhai wa mtu..Lakini Kibongo tunasambaziana leo baada ya siku tatu,nyumba nzima itasahau kuwa ilikua na Mafua na uenda kidogo itasumbua kwa watoto wadogo na wale ambao kwao ikingia inatoka baada ya wiki nzima,yote iyo ni kwa sababu ya mifumo ya immune zetu na reaction dhidi ya Virus mbalimbali.

Sasa DK Mwale akuzingatia tafisri ya ugonjwa huo Kitanzania wakati amekaa kwenye Matende na Mabusha anajua magonjwa ya Kihistoria ya Tanzania leo hii alishindwa kujifunza juu ya huu wa Zika na kuja na Tafsiri sahihi kuwa kuna Vijana wengi tu wakitaznaia ambao ni victim wa ugonjwa huo miaka na miaka na huu wa kuibuka jana Brazil na kuweka Ramani Kimataifa kwa Tanzania ni rekodi nyingine Tofauti kabisa na ile ya Brazil japo uaweza kuwa ni aina ile ile ya ugonjwa lakini wenye madhara yenye mazingira na mapokea tofauti.

Uzalendo ulitakiwa Sana kwa kuzingatia Uhalisia na sio kuumiza Taifa kwa vigezo vile vi;le vya Taaaluma [Professionalism]
Kwa hiyo ZIKA siyo hatari kwetu! Kwamba hata tahadhari siyo muhimu!

Pathetic
 
Ninavyofahamu, tangu ugonjwa wa Zika ugundulike mwaka 1947 katika misitu ya Zika Uganda kutoka kwa nyani, na tangu uanze kuonekana kwa baadhi ya watu Tanzania mwaka 1948, mpaka leo hakuna mlipuko wa ugonjwa wa Zika Tanzania kiasi cha kututia hofu. Kwa kiasi kikubwa, tumesalimika kwa sababu ya kinga miili yetu iliyojenga dhidi ya ugonjwa kwa miaka mingi. Pia, inafahamika kuwa kukuta virusi haimaanishi ndio unaumwa. Kwa mfano, si lazima ukikutwa na VVU basi ndio tayari una UKIMWI na si kila mwenye VVU atapata UKIMWI. Cha muhimu, hasa kwa gonjwa kama Zika, ni kuendelea kufanya tafiti na vipimo pamoja na kutoa taarifa/tahadhari sahihi kwa wakati. Tukileta siasa kwenye afya na maisha ya watu itatugharimu.

Mwisho, tuendeleze mapambano zaidi kwenye magonjwa yasiyoambukiza, yanayotumaliza na yenye gharama kubwa sana kuyatibu kama saratani ambayo yanaendelea kututesa hasa dada zetu na mama zetu. Mfano, saratani ya shingo ya kizazi kwa zaidi ya asilimia 99 inasababishwa na Human papillomavirus (HPV), ambapo njia kubwa ya maambukizi ni ngono isiyo salama na hasa pale wasichana/wanawake wanapoanza ngono-zembe wakiwa na umri mdogo pamoja na kuwa na wapenzi wengi (au kwa mwanamke kushiriki ngono na mwanaume mwenye wapenzi wengi) huongeza uwezekano wa kupata saratani. Elimu na huduma za upimaji ziendelee kutolewa kwa wananchi (na hasa kwa wanasiasa/viongozi ambao wengi ni vilaza kupindukia) ili tusiendelee kupoteza nguvukazi ya Taifa letu.
 
Bo

Bottom-line ni kuwa afiche ukweli! Sidhani kama alikuwa na nia OVU, maana umeongelea uzalendo, hilo mgelilifikiria kabla ya kumtumbua.
Kama mimi binafsi nawajua nilio kuha nao wenye mwonekano unao karibiana na wale wa Zika miaka ya 1980 leo hii ukiniambia ni janga la KITAIFA wewe ntakuona kichaaa hata kama utakuja na takwimu zako...kwa kuwa nimeishi na jambo hilo sawa na wale wenye mabusha na matende kiuhalisia...kama Mkazi yoyote wa jiji la Dar anavyoishi na wenye Mabusha.

Mwenye Busha akikatiza mitaa ya Newyork na Busha lake au London mji mzima utayoyoma lakini Tanzania mtu huyo huyo hayo ni maisha safi sana huku Pwani tena ameshakuwa na utani wa Jadi ishara ya maisha ya Mwafrika Pure...Acheni Kushabikia upuuzi kwa vivuli kwa usomi usio na tija kwa Taifa. Uzalendo maana yake nii kuangalia vitu kwa jicho pana lenye faida kwa Watu wa Nchi [Wana wa Taifa] na Taifa lao kwa maendeleo yao na Vizazi vyao.Uzalendo sio kumfurahisha mgeni kwa takwimu na taarifa za majarida.

DK Mwele anapaswa kuwa ndiye mtetezi wa kustify kwanini mimi mtu wa kutoka kanda ya ziwa niliweza kuishi na Mtoto ambae ana dalili ambazo leo inaonekana ni Zika na maisha yakaendelea kama kawaida bila madhara.Sio kuwa yeye kugeuka kuwa mpiga msumali wa Sanduku..Kuna taaratibu wa jinsi Serikali itatafuta majwabu ya findings hizo walizopata na kutoa majibu amabayo yataendana na uhalisia tulio nao.
 
Nobody is doubting the competence of NUMR researchers but the method of dissiminating the research results of that naturem

Sijasema Max kashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo/kijiweni ila siye tumemponza kwa kuandika humu taarifa za uongo/kijiweni.

Kama umesoma kunizidi au la, humu tunatofautiana kwa kujenga na kujibu hoja kwa manufaa ya wanaJF wengine.
Ulisema uandishi wangu unaonyesha mimi ni nani, ndiyo nikasema huwezi jua labda nakuzid au unanizidi! Ishu siyo elimu, ishu ni kwa vipi unachangia.
 
Kwa hiyo ZIKA siyo hatari kwetu! Kwamba hata tahadhari siyo muhimu!

Pathetic
Mr Thin Minds
Kukujibu nasema hivi mimi binafsi nawajua nilio kuha nao kwenye maisha wenye mwonekano unao karibiana na wale wa Zika miaka ya 1980 leo hii ukiniambia ni janga la KITAIFA wewe ntakuona kichaaa na punguai zero waedi hata kama utakuja na takwimu zako...kwa kuwa nimeishi na jambo hilo sawa na wale wenye mabusha na matende kiuhalisia. ambavyo wanaishi kama wakazi wa Jiji au Pwani tunavyoishi na wenye Mabusha na Matende bila tatizo lplote baya la kiafya nje ya mgonjwa husika.

Mwenye Busha akikatiza mitaa ya Newyork na Busha lake au London mji mzima utayoyoma lakini Tanzania mtu huyo huyo hayo ni maisha safi sana huku Pwani tena ameshakuwa na utani wa Jadi ishara ya maisha ya Mwafrika Pure...Acheni Kushabikia upuuzi kwa vivuli kwa usomi usio na tija kwa Taifa. Uzalendo maana yake nii kuangalia vitu kwa jicho pana lenye faida kwa Watu wa Nchi [Wana wa Taifa] na Taifa lao kwa maendeleo yao na Vizazi vyao.Uzalendo sio kumfurahisha mgeni kwa takwimu na taarifa za majarida.

DK Mwele anapaswa kuwa ndiye mtetezi wa kustify kwanini mimi mtu wa kutoka kanda ya ziwa niliweza kuishi na Mtoto ambae ana dalili ambazo leo inaonekana ni Zika na maisha yakaendelea kama kawaida bila madhara.Sio kuwa yeye kugeuka kuwa mpiga msumali wa Sanduku..Kuna taaratibu wa jinsi Serikali itatafuta majwabu ya findings hizo walizopata na kutoa majibu amabayo yataendana na uhalisia tulio nao.
 
Waheshimiwa, itendeeni haki Science. Kweli mnamshauri JPM amwadhibu mtu kwa kusema ukweli tena wa kisayansi. IT IS A PITY KUWA HATA MEDICAL DOCTOR AMEINGIA KWENYE UPOTOFU HU, I WILL NOT CARE WITH MHESHIMIWA UMMY, SIO SCIENTIST

Hakuna jipya: Tazama hii link: Health Information for Travelers to Tanzania, including Zanzibar - Traveler view | Travelers' Health | CDC
Cz1Ms2JWIAAVlS7.jpg
preminaly findings
Hebu weka hapa hata page moja yenye picha ya watu au watoto ambao wana virusi vya zika kutoka Tanzania.
Unatangaza vipi Ugonjwa kama huna picha wa sampuli ya watu wenye virusi vya zika? Nahuu ulikuwa utafiti wao wa mwanzo kabisa na kamwe usingeweza kutumika kufanya hitimisho kuwa kuna Zika...
 
preminaly findings
Hebu weka hapa hata page moja yenye picha ya watu au watoto ambao wana virusi vya zika kutoka Tanzania.
Unatangaza vipi Ugonjwa kama huna picha wa sampuli ya watu wenye virusi vya zika? Nahuu ulikuwa utafiti wao wa mwanzo kabisa na kamwe usingeweza kutumika kufanya hitimisho kuwa kuna Zika...
Hiyo link vipi
 
"Siku zote NIMR wamekuwa na desturi ya kutangaza matokeo ya tafiti zake kwa umma, leo hii ni makosa" - Mtafiti wa Tiba
Kuwa mwelewa unapoelimishwa, na usiwe mbishi kwa kitu usichoelewa, elewa kwamba waziri wa afya ndo anapaswa kutangaza na hata asipotangaza moja kwa moja ni kwamba katoa baraka zake-wote wapo wizara ya afya inakuwaje waziri asijue? Hapo ndo huwa mnaanza oh mawaziri mizigo-shida iko wapi kwa watz?
 
Leo ugonjwa wako wa kuandika upupu umekurudia, umeniangusha.

Ikiwa kila ulichoandika ni sahihi kungekua hamna maana ya kuanzishwa NIMR na pia ili kupinga utafiti wa mtu ni lazima upitie njia zake uone kama utapata matokeo tofauti.

Hoja ya kua wagonjwa huenda hospitali hivyo takwimu za hospitali ndiyo sahihi itakuaje na nguvu ikiwa hospitali zetu hazina madaktari wa kutosha na hata vifaa tiba hakuna?

Leo una nini?
Muulize, kwa nini utafiti usifanywe na hizo hospitali au hao madaktari bingwa wa wizara na badala yake ufanywe na NIMR?
Kuna unasaba wa aliyetumbuliwa na Mange Kimambi kwa hyo unganisha dot mkuu
 
Back
Top Bottom