Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
ilikuwa utawala ulopitaInawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
ilikuwa utawala ulopitaInawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
Hili neno => Hujui mie ni nani au unanijua mie ni Nani?bado linatumika? Max kaponzwa na nini? Kwani max huwatuma wachangiaji waandike matakwa yake? Kama makosa ya wachangiaji humponza mmiliki mbona wamiliki wa Whatsapp,facebook na mitandao mingine kibao wateja wao wanafanya makosa kwa nini hamjaenda huko walipo kuwakamata kwa kutumia interpol police wa kimataifa?Usiandike kwa kuongozwa na hisia tu. Uandishi kama huo ndo umemponza Max.
Hunijui mimi ni nani wala sina sababu ya kuweka CV yangu ila bandiko na hoja zangu humu jamvini zitakusaidia kujua mimi ni nani.
Kuandika makala ya utafiti "scientific paper" ni sehemu ya kazi ya utafiti ili watafiti wengine iwawezeshe kupitia tafiti yako kuthibitisha matokeo uliyoyapata (replication).
Jitambue kwanza kabla ya kujibu humu. Na pia jibu kwa hoja.
Kwa sababu ya ujingaNdiyo maana kipindupindu hakiishi Tanzania
Kweli mi namashaka sana na uwelewa wa vijana wa kitanzania huwezi hata siku moja ukatangaza jambo kubwa kama hilo bila kufuata utaratibu yeye hana mamlaka ya kutangaza wenye mamlaka ni IHR ambao lazima washauliane na CMO kisha WHO ithibitishe hili jambo lina adhali kubwa sana kwa jamii na uchumi wa nchi sio jambo la kukurupuka hata mara moja so hatua ambazo rais amechukua ni sahihi kabisa kwa makosa ambayo yamefanywa na wengine wajifunze waachenkufanya kazi kwa mazoea watuate taratibu
Max ameandika nini? He has never written anything opposing the government. Sikujui, perfect unaweza ukawa na madaraka makubwa, humu hatujuani. Unaweza kunionea as it is now, na sio kuwa nina kosa. Unaweza kutumia nguvu zako na madaraka yako kunionea . Hilo utafanikiwa maana una nguvu ya dola. Lakini mwisho wa yote ni Mungu wa haki! Our destiny is in the hands of our God! You will just facilitate reaching their. Scientific findings should be known to the public for the benefit of the society. Kosa la Mwele ni lipi?Usiandike kwa kuongozwa na hisia tu. Uandishi kama huo ndo umemponza Max.
Hunijui mimi ni nani wala sina sababu ya kuweka CV yangu ila bandiko na hoja zangu humu jamvini zitakusaidia kujua mimi ni nani.
Kuandika makala ya utafiti "scientific paper" ni sehemu ya kazi ya utafiti ili watafiti wengine iwawezeshe kupitia tafiti yako kuthibitisha matokeo uliyoyapata (replication).
Jitambue kwanza kabla ya kujibu humu. Na pia jibu kwa hoja.
Hii ndio dalili ya ZikaWizara ya afya ndio INA madaktari bingwa hadi maprofesa ambao ndio waweza toa uthibitisho wa tuhuma za kuwepo kipindi pindu au zika hawezi ibuka kibaka yeyote awe Wa sombetini au kisongo kwa god bless lema au Nimri akasema hapa pana ugonjwa huu.Walichotafiti ni tuhuma wangezipeleka wizara ya afya kwa uthibitisho.Wizara ya afya ambako ndiko wagonjwa huripoti kwa matibabu kwenye hospital zake wanasema hawajawahi ona mgonjwa wa Zika .wagonjwa hawatibiwi Nimri hutibiwa hospitalini takwimu za hospitalini za madaktari wa wizara ya afya ndizo sahihi
Inawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
Leo ugonjwa wako wa kuandika upupu umekurudia, umeniangusha.Wizara ya afya ndio INA madaktari bingwa hadi maprofesa ambao ndio waweza toa uthibitisho wa tuhuma za kuwepo kipindi pindu au zika hawezi ibuka kibaka yeyote awe Wa sombetini au kisongo kwa god bless lema au Nimri akasema hapa pana ugonjwa huu.Walichotafiti ni tuhuma wangezipeleka wizara ya afya kwa uthibitisho.Wizara ya afya ambako ndiko wagonjwa huripoti kwa matibabu kwenye hospital zake wanasema hawajawahi ona mgonjwa wa Zika .wagonjwa hawatibiwi Nimri hutibiwa hospitalini takwimu za hospitalini za madaktari wa wizara ya afya ndizo sahihi
Naona kweli wamemkomoa maana hawakusema ile kauli mbiu ya kupangiwa kazi ingine.``ukweli unakuweka huru``anayekataa ukweli no mtumwa.Tukatae kuwa watumwa.
Zika virus has been endemic in our environment tangu zamani..since its discovery in Uganda na has been having a significant impact kwa watz wenzetu..many children are born with microcephaly na wengi wao hufariki in early childhood or suffer significant mental retardation.Yawezekana hujanya utafiti au hujui maana ya utafiti. Kama unajua basi nawe unataka kupotosha.
Matokeo ya utafiti wa aina yoyote, na hasa wa kisayansi (km magonjwa na madawa), ni budi uridhishe, bila chembe ya wasiwasi, dhana zote za kisayansi (hypothesis testing). Na lazima uthibitishwe na tafiti mbadala. Pia jopo la watafiti hukusanywa kwenye kongamano na kujadili matokeo ya utafiti huo, kujiridhisha.
Suala la Dr Mwela haligusi tu utafiti wa kisayansi bali pia matokeo ya utafiti huo una faida na madhara makubwa kama yatatangazwa na chombo kisichohusika. Kwa hili, mwenye mamlaka ni Wizara ya afya.
Bondia wa kutwanga wanawake yeye, mpiga push ups mashuhuri yeye, dah ! kweli si mtu wa sport sport huyu.Mkemia yeye..mwalimu yeye...dakitari wa binadam yeye..muhasibu yeye. HR yeye..kila kitu yeye...SIJAWAHI DUNIAN KUSIKIA MTU ANAJUA KILA KITU....NA HAITOTOKEA ... NI MUNGU TU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi shule.wataaramu
Mshauri wao mkuu kwa sasa ni prefeseli Lipumba kwa hiyo tusishangae sana kwa haya yanayotokea.Siasa vs professionalism
Yehodaya, haya ya dunia yana mwisho. Muogope Mungu! Kuna siku utakuana na hukumu ya haki. Mungu ni mkubwa. Allah AkhbarAngemfuta kwa sababu zenye maslahi kwa taifa ingependeza lakini kumfuta kazi kwa sabau zenye maslahi mapana kwa taifa ni upuuzi uliotukuka.
Yohada kafanya yake ya kumuingizia kipato buku saba bila kujaliathari za vizazi vyake, wachumia tumbo ndivyo walivyo.Yehodaya, haya ya dunia yana mwisho. Muogope Mungu! Kuna siku utakuana na hukumu ya haki. Mungu ni mkubwa. Allah Akhbar