Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Waheshiwa Ummy na Kigwangala, heshimuni science

Pole sana Dr. Mwele siasa zimekuwa bora kuliko taaluma yako, pole sana ila Mungu atakupa kilicho bora zaidi kwa kuwa mkweli na kwa ukweli huo umeokoa nafsi za watoto wengi watarajiwao maana sie maskini tutachukua tahadhari ya kujikinga. Pole mama inauma lakini jipe moyo baada ya dhiki na majonzi ni faraja.
 
"Siku zote NIMR wamekuwa na desturi ya kutangaza matokeo ya tafiti zake kwa umma, leo hii ni makosa" - Mtafiti wa Tiba
Wizara ya afya ndio INA madaktari bingwa hadi maprofesa ambao ndio waweza toa uthibitisho wa tuhuma za kuwepo kipindi pindu au zika hawezi ibuka kibaka yeyote awe Wa sombetini au kisongo kwa god bless lema au Nimri akasema hapa pana ugonjwa huu.Walichotafiti ni tuhuma wangezipeleka wizara ya afya kwa uthibitisho.Wizara ya afya ambako ndiko wagonjwa huripoti kwa matibabu kwenye hospital zake wanasema hawajawahi ona mgonjwa wa Zika .wagonjwa hawatibiwi Nimri hutibiwa hospitalini takwimu za hospitalini za madaktari wa wizara ya afya ndizo sahihi
 
Wizara ya afya ndio INA madaktari bingwa hadi maprofesa ambao ndio waweza toa uthibitisho wa tuhuma za kuwepo kipindi pindu au zika hawezi ibuka kibaka yeyote akasema hapa pana ugonjwa huu.Walichotafiti ni tuhuma wangezipeleka wizara ya afya kwa uthibitisho.Wizara ya afya ambako ndiko wagonjwa huripoti kwa matibabu kwenye hospital zake wanasema hawajawahi ona mgonjwa wa Zika .wagonjwa hawatibiwi Nimri hutibiwa hospitalini takwimu za hospitalini za madaktari wa wizara ya afya ndizo sahihi
Nonsense
 
Yaani wako kujipendekeza mpaka wanatia aibu ila hili litawaumbua
 
Kweli mi namashaka sana na uwelewa wa vijana wa kitanzania huwezi hata siku moja ukatangaza jambo kubwa kama hilo bila kufuata utaratibu yeye hana mamlaka ya kutangaza wenye mamlaka ni IHR ambao lazima washauliane na CMO kisha WHO ithibitishe hili jambo lina adhali kubwa sana kwa jamii na uchumi wa nchi sio jambo la kukurupuka hata mara moja so hatua ambazo rais amechukua ni sahihi kabisa kwa makosa ambayo yamefanywa na wengine wajifunze waachenkufanya kazi kwa mazoea watuate taratibu
 
naanza kuona umuhimu wa rasimu ya mzee warioba. Na kifungu kisemacho Mawaziri wasiwe wanasiasa.
 
Tatizo tumekuwa na viongozi elim zao za kuungaungaa.
Ukiuliza Phd kaipataje ni matapishi matupu.
Ngoja niishiee hapa, mana Keko sio pazuri.
PhD nyingi za Tanzania ni feki ndiyo maana wengi hufanya kazi kwa ujanja janja kwa style za mihemko.
 
Wizara ya afya ndio INA madaktari bingwa hadi maprofesa ambao ndio waweza toa uthibitisho wa tuhuma za kuwepo kipindi pindu au zika hawezi ibuka kibaka yeyote akasema hapa pana ugonjwa huu.Walichotafiti ni tuhuma wangezipeleka wizara ya afya kwa uthibitisho.Wizara ya afya ambako ndiko wagonjwa huripoti kwa matibabu kwenye hospital zake wanasema hawajawahi ona mgonjwa wa Zika .wagonjwa hawatibiwi Nimri hutibiwa hospitalini takwimu za hospitalini za madaktari wa wizara ya afya ndizo sahihi
We naye kichwa maji kweli ebu kachukue bk 2 lumumba
 
Wewe ni mwanasiasa na husomi scientific publications, unasoma sera/ilani za CCM tu. Huyu aliyeandika haya ni Mwele: Health Information for Travelers to Tanzania, including Zanzibar - Traveler view | Travelers' Health | CDC
Usiandike kwa kuongozwa na hisia tu. Uandishi kama huo ndo umemponza Max.

Hunijui mimi ni nani wala sina sababu ya kuweka CV yangu ila bandiko na hoja zangu humu jamvini zitakusaidia kujua mimi ni nani.

Kuandika makala ya utafiti "scientific paper" ni sehemu ya kazi ya utafiti ili watafiti wengine iwawezeshe kupitia tafiti yako kuthibitisha matokeo uliyoyapata (replication).

Jitambue kwanza kabla ya kujibu humu. Na pia jibu kwa hoja.
 
Pole sana Dr. Mwele siasa zimekuwa bora kuliko taaluma yako, pole sana ila Mungu atakupa kilicho bora zaidi kwa kuwa mkweli na kwa ukweli huo umeokoa nafsi za watoto wengi watarajiwao maana sie maskini tutachukua tahadhari ya kujikinga. Pole mama inauma lakini jipe moyo baada ya dhiki na majonzi ni faraja.
Mkulu kaamua kuufuta ukoo wa malecela kwenye Uongozi wake hataki mama wala mtoto pia hata Le mutuz licha ya kujipendekeza amegoma kumpa hata katibu tawala wilaya ya katavi au hata ukurugenzi kule wilaya ya mafia.
 
Angemfuta kwa sababu zenye maslahi kwa taifa ingependeza lakini kumfuta kazi kwa sabau zenye maslahi mapana kwa taifa ni upuuzi uliotukuka.
 
Mkemia yeye..mwalimu yeye...dakitari wa binadam yeye..muhasibu yeye. HR yeye..kila kitu yeye...SIJAWAHI DUNIAN KUSIKIA MTU ANAJUA KILA KITU....NA HAITOTOKEA ... NI MUNGU TU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa kabla ya kutoa taarifa ashauriane na waziri wa afya,
 
Inawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
NATIONAL INSTITUTE FOR MEDICAL RESEARCH

Advancing Health Research, Enhancing Life

Institutional Mandates

The National Institute for Medical Research (NIMR) is the largest public health research institution in Tanzania. It was established by the Parliamentary Act No. 23 of 1979 as a parastatal organization under the Ministry of Health. The establishment of NIMR was in recognition by the government of the need to generate scientific information required in the development of better methods and techniques of enhancing disease management, prevention and control in the country.

The National Institute for Medical Research was established with the following functions:

i) To carry out and promote the carrying out of medical research designed to alleviate disease among the people of Tanzania;

ii) To carry out and promote the carrying out of research into various aspects of local traditional medical practices for the purpose of facilitating the development and application of herbal medicine;

iii) To cooperate with the government or any person, or body of persons, in promoting or providing facilities for, the training of local personnel for carrying out scientific research into medical problems;

iv) To monitor, control and coordinate medical research carried out within Tanzania, or elsewhere on behalf of or for the benefit of the government of Tanzania, and to evaluate the findings of that research;

v) To establish a system of the registration of, and to register the findings of medical research carried out within Tanzania, and promote the practical application of those findings for the purpose of improving or advancing the health and general welfare of the people of Tanzania;

vi) To establish and operate systems of documentation and dissemination of information on any aspect of the medical research carried out by or on behalf of the institute
 
Back
Top Bottom