Yawezekana hujanya utafiti au hujui maana ya utafiti. Kama unajua basi nawe unataka kupotosha.yaani walitaka kufukia hii taarifa?
Serikali ni wauaji taarifa kama hii walikua wanataka ifukiwe??Inawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
Is just a preliminary study, we did not come to conclusion yet(RESEARCH)Yawezekana hujanya utafiti au hujui maana ya utafiti. Kama unajua basi nawe unataka kupotosha.
Matokeo ya utafiti wa aina yoyote, na hasa wa kisayansi (km magonjwa na madawa), ni budi uridhishe, bila chembe ya wasiwasi, dhana zote za kisayansi (hypothesis testing). Na lazima uthibitishwe na tafiti mbadala. Pia jopo la watafiti hukusanywa kwenye kongamano na kujadili matokeo ya utafiti huo, kujiridhisha.
Suala la Dr Mwela haligusi tu utafiti wa kisayansi bali pia matokeo ya utafiti huo una faida na madhara makubwa kama yatatangazwa na chombo kisichohusika. Kwa hili, mwenye mamlaka ni Wizara ya afya.
Kuna unasaba wa aliyetumbuliwa na Mange Kimambi kwa hyo unganisha dot mkuuInawezekana mkurugenzi hakufuata taratibu za kutoa taarifa.
Then it was not right to make preliminary results public knowing the impacts/ effects/ responses that will result from unconclusive research results of that nature.Is just a preliminary study, we did not come to conclusion yet(RESEARCH)
umiii teache?? mnakazi sana safari ziki haitaondolewa na kutenguaYawezekana hujanya utafiti au hujui maana ya utafiti. Kama unajua basi nawe unataka kupotosha.
Matokeo ya utafiti wa aina yoyote, na hasa wa kisayansi (km magonjwa na madawa), ni budi uridhishe, bila chembe ya wasiwasi, dhana zote za kisayansi (hypothesis testing). Na lazima uthibitishwe na tafiti mbadala. Pia jopo la watafiti hukusanywa kwenye kongamano na kujadili matokeo ya utafiti huo, kujiridhisha.
Suala la Dr Mwela haligusi tu utafiti wa kisayansi bali pia matokeo ya utafiti huo una faida na madhara makubwa kama yatatangazwa na chombo kisichohusika. Kwa hili, mwenye mamlaka ni Wizara ya afya.
Wewe ni mwanasiasa na husomi scientific publications, unasoma sera/ilani za CCM tu. Huyu aliyeandika haya ni Mwele: Health Information for Travelers to Tanzania, including Zanzibar - Traveler view | Travelers' Health | CDCThen it was not right to make preliminary results public knowing the impacts/ effects/ responses that will result from unconclusive research results of that nature.
Unajua kabisa kuna tafiti maelfu zimefanyika na zinaendelea kufanyika lakini matokeo yake mengine bado yako maabara yakisubiri kuthibitishwa.
Tunaikakanganya jamii kwa kutumia vibaya taaluma zetu.