Wahenga; ishini nao kwa akili!

Wahenga; ishini nao kwa akili!

Mtu mwenye ela ya kulisha ukoo anaandika kuhusu wanawake kwa uchungu mpaka anaonekana! Hebu nipishe huko na vijisenti vyako mxiew!😂
Katafute wale wapuuzi wanaokushobokeaga huko kwenye nyuzi zenu za kilofa.

Huu uzi ni wa wanaume,wewe umevamia mtumbwi wa vibwengo!!!
 
Katafute wale wapuuzi wanaokushobokeaga huko kwenye nyuzi zenu za kilofa.

Huu uzi ni wa wanaume,wewe umevamia mtumbwi wa vibwengo!!!
Hahaha kumbe huwa unanionea wivu na wewe nenda kashobokewe lol🤣

Hii jf ni kichaka hatimaye unatoa ya moyoni, umekaa unaugulia fake ids kushobokea fake id kazi unayo, na bado👌🏽💃🏽🤭
 
Hahaha kumbe huwa unanionea wivu na wewe nenda kashobokewe lol🤣

Hii jf ni kichaka hatimaye unatoa ya moyoni, umekaa unaugulia fake ids kushobokea fake id kazi unayo, na bado👌🏽💃🏽🤭
Watu wenye akili timamu huwa tunaobserve.

Humu JF kuna watu design yako huwa sifanyagi convo nao kwasababu nilishawasoma kwanza am above your league.

Wewe bado ni bread winner na mimi nipo mbali sana kwenye mafanikio na upeo wa maono.

Then let me take you where you belong.....ignored!!!!
 
Utajua mwenyewe ukitaka unaweza kufuta kabisa jf usiwe unaniona! Takataka🚮🚮

Unajifanya kumjua mtu na wakati humjui, yani dume zima linaumia wanaume wenzie kushoboka ulitaka ushobokewe wewe nini! YBWYB 🤣💔

Kwendraa huna unachoniongezea zaidi ya kuniumiza macho na mabold yako! Hujaanza kuchukia uwepo wangu wewe wapo wengi and still nadunda tu, Hater mwenyewe unaandika ki gen z unajifanya u are above my league, unaandika kwa makasiriko na una ela labda za kulia mihogo🤣unanitishia ignore na kujifanya unanijua sana wakati hunijui mxiewww!!!🚮🚮🚮
 
Utajua mwenyewe ukitaka unaweza kufuta kabisa jf usiwe unaniona! Takataka🚮🚮

Unajifanya kumjua mtu na wakati humjui, yani dume zima linaumia wanaume wenzie kushoboka ulitaka ushobokewe wewe nini! YBWYB 🤣💔

Kwendraa huna unachoniongezea zaidi ya kuniumiza macho na mabold yako! Hujaanza kuchukia uwepo wangu wewe wapo wengi and still nadunda tu, Hater mwenyewe unaandika ki gen z unajifanya u are above my league, unaandika kwq makasiriko na una ela labda za kulia mihogo🤣unanitishia ignore na kujifanya unanijua sana wakati hunijui mxiewww!!!🚮🚮🚮
Huyu ndivyo alivyo,ashawahi kunivamia kwenye Uzi Fulani,,,
 
Huyu ndivyo alivyo,ashawahi kunivamia kwenye Uzi Fulani,,,
Ndio zake anachukia jinsi asivyopewa attention na wanaume wenziye, so kaja na huu uzi ili awakusanye na kudhalilisha wanawake! anavamiaga kila mtu na matusi kuliko kujikita kwenye mada! Imagine ananionea wivu navyoanzishiwa zile nyuzi tayari anajifanya ananijua vzr lol! Kuna vitu vinachekesha sana🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom