Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,655
- 4,863
- Thread starter
- #41
Ukishauliwa akili utazikuta futi 6!!!Ndio kukoswa akili huko.
Ukishauliwa akili utazikuta futi 6!!!Ndio kukoswa akili huko.
Wewe ni kati ya wanaume wajinga na mazumbukuku ambao ni SIMPS.What happened brotha au kuna mtu ametafuna nauli!
Nimekumbuka simu yenye hiyo namba nimeisahau home,nitakupigia si muda mrefu😂Ninayo bro simu inaita tu au upo pabaya
Pole sana maumivu yakizidi muone daktariTUNAOWAONEA HURUMA MNAVYOBWATULIWA VICHWA NA KUINGIA FUTI SITA KABLA YA MUDA😄😄😄
NIPO NASOLVE PROBLEM FROM THE ROOTS!!!
They have nothing to offer!! 😂Bado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.
Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.
Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional😄😄😄while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.
📌📌📌Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
Kwa hakika sindano💉 imepenya vilivyo na mgonjwa ameanza kupata nafuu😄😄😄Pole sana maumivu yakizidi muone daktari
Mtakuja na utetezi wa kila namna ila tambua,wewe ni DOORMAT( KIFUTIA MIGUU MLANGONI) hapo nyumbani kwako utatumika kama kweka and the day mwanamke atakapofinalize hesabu yake utakuwa DISMISSED like a toilet paper!!!Hekima na ukomavu wa akili🧠 ya mwanaume unapatikana pale tu, atakapo OA na kuweza kuishi na MKE.
Mwanamke ni kumbe ambae hubadilika mara kwa mara, hivyo basi, yule ambae ataweza kuishi nae katika hali zake zote, huyo ndio anakua ni mtu mwenye hekima katika maamuzi na ni mkomavu kiakili💪 .
Ama wale wanao Sema #KATAA NDOA tunawaambia "ISIPOKUFAA AKILI YAKO UTAKUDHURU UJINGA WAKO"
point haswa kubwa zaidi ni hii hapa.📌📌📌IF YOU ARE A GOLD DIGGER🚨🚨,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA TU!!!
KATAA NDOA NI UTAPELIMWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!
MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.
KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.
MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.
UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA😄😄😄
📌IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!
#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!
📌📌📌IF YOU ARE A GOLD DIGGER🚨🚨,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA TU!!!
Ukweli unapokita, wanga na wachawi huvurugika😄😄😄Ni vilio tu kukicha! Hamnaga mambo ya kuwaza nje na wanawake🤣
Napenda mnavyoumiza vichwa na kutoa milio siku nzima ni mmeopoa Phd ya wanawake this wanawake that🤸🏽♀️Ukweli unapokita, wanga na wachawi huvurugika😄😄😄
Vumilia ndio utandawazi, kila kitu kitakuwa wazi ni swala la muda.
📌Ungekuwa unatengeneza hela muda huu badala ya kulike kila comment ungekuwa wa maana sana, ila kama muda wako upo hapa JF na unaumizwa na hizi nyuzi.Napenda mnavyoumiza vichwa na kutoa milio siku nzima ni mmeopoa Phd ya wanawake this wanawake that🤸🏽♀️
Wewe umetengeneza shingapi kwa kushinda unabold maandishi na kuandika chuki zidi ya wanawake ambao hata huwajui?📌Ungekuwa unatengeneza hela muda huu badala ya kulike kila comment ungekuwa wa maana sana, ila kama muda wako upo hapa JF na unaumizwa na hizi nyuzi.
Mtoa mada nitkuwa sahihi sana n messege sent and delivered accordingly.
Ahhahahah, Shikamoo mkuu. Hatuwezi kuizoea kwa kweli.Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza 🤔
Nina hela za kukulisha wewe kama wewe mpaka unakufa,,,,wewe na ukoo wako wote nina hela za kuwafuga mkala mkanya miaka dahari.Wewe umetengeneza shingapi kwa kushinda unabold maandishi na kuandika chuki zidi ya wanawake ambao hata huwajui?
Mtu mwenye ela ya kulisha ukoo anaandika kuhusu wanawake kwa uchungu mpaka anaonekana! Hebu nipishe huko na vijisenti vyako mxiew!😂Nina hela za kukulisha wewe kama wewe mpaka unakufa,,,,wewe na ukoo wako wote nina hela za kuwafuga mkala mkanya miaka dahari.
Kwa hiyo unavimba kichwa atiUtasikia oooh mie mwanamke hanibabaishi ila analala na kuamka akiwawaza wanawake na karibia kila uzi wake ni wanawake this and that🤣🤣🤣
Tunakabia juu sana.