Wanaume ishini na wake zenu kwa akili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume ishini na wake zenu kwa akili!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 16, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,264
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Shalom
  nashuukuru mungu kwa kuwapa nafasi tena kuweza kuuona mchana wa tar 16 may2011...si mbaya tukakumbushana najua akuna jipya ila kinachoaribu ndoa za watu sikhizi ni kusahau yale walioelekezwa si kwamba awajui hasira ni shida kwenye ndoa,,uzinzi tabu kwenye ndoa,,uvumilivu muhimu kwnye ndoa bali wanakuwa wasahahulifu wa yale yaliohubiriwa ama kunenwa siku wanaoana....pengine tusiwalaumu bali wengine wamekuuwa na mawazo mengi siku ya ndoa na wengine mpaka wanaingia ukumbini hata awaamini kilichotokea masaa machache pale kanisani kivipi..yeye ndie anajua mhusika wa ndoa....

  Si mbaya wanaume kukumbushana ni kweli wanwake wengi ama wake zetu wamekuwa na shida za kibinadamu lakini pengine sie tunachangia zaidi kivipi ni kutokuwa na ufahamu wa kuishi na wake zetu..baibo inasema enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu ...najua unajiuliza kwa nini tuishii nao kwa akili na wao waishi na sisi kwa nini/???

  Kama unaweza ajua mkeo leo hii anasira basi ni neema ya mungu kulijua hilo na inakusaidia sasa kujua jinsi gani utamhandle mkeo siku hiyo..hata ninyi wanawake kuna wakati mnatafuta matatizo wenyewe..unakuta mwanaume anaiingia tu mlangoni hata sebulen ajafika unaanza kumwonyesha mumewangu embu angalia kidonda changu nimeungua jikoni..jamani jamani embu kuweni na hekima..kuna wanaume wengine wanaweza kuwachapa makofi kwa nini..mwombe mungu hekima hujui alipotoka mumeo chuma ulete imemngataje ..hujui labda wazee wa tra wamekuja kudai haki zao weweulikuwa unashangilia outing tuu ....pengine na nyie wamama mmekuwa mkiomba maombi makali hata waume zenu wanapigika bila nyi ekujijua ndie src...embu ifike wanaume pamoja na kuwapenda tuisdshi nao kwa akili jamani hawa mabinti sayuni..kuna mwingine jaamani mkewe kupigwa busu mpaka annointing..ajipake mafuta ya mzeituni nira zifunguke ndio mtu aone uzuri wa mkewe wengine saloon mpaka pasaka..wengine yaani yako wengine mengi tu nk..sasa embu tuombe ufahamu jinsi ya kuishi na wake zetu..mwingine utakuta mke kasema kidogo tu jaman hny leo hata mliman city kuna nini???wewe ukiona mshara unafikiria mliman city..loh we mwanaume hiyo kazi mkeo akipuliza akasema imetosha nakwambia hata folen za mabasi utakuwa ukisikia tu kwenye kipindi cha clouds..unajua kuna watu sio tu wako kazini bali furaha yao wako kwenye list yanawanaochelewa na mabasi kufika ofisini.....

  Soma 1samweli 25 mstari wa kwanza nk..utaona kuna jamaa anaitwa nabali huyu jamaa alikuwa mpumbavu sio mimi soma vizuri inakuonyessha wazi..alimuuzi mfalme daudi.....akaanza kuropoka ovyo kumkashifu mfalme daudi..daudi akaanda jeshi kwenda kufyeka kila kilichokuwa cha nabali...nakusema hana maana mtu kama huyo asie na dabu kuendelea kuishi na ukoo wake...akiwa njian kuna mtu akamtonya nmkewe anaitwa abigael akamwambia mfalme daudi anakuja muda si mrefu anawafyeka wote...wakiwa njian huyu abigael akaanda farasi na vitu kwa ajili ya msamaha mikate miambili.. Kwa mfalme daudi..akakutana nae njian akaruka kwenye punda na kumwomba mfalme daudi ..huku akimwangukia kifudi fudi akainama mpaka chini..tazama nakusihi usimwangalie huyu mtu asiefaa yaani mumewe nabali..kwa maana jinsi alivyo ndivyo akili zake zilivyo..jina lake ndio nabali na upumbavu wake..nakusihi usilipize kisasi juu yake na ukoo wake..daud mfalme akauzunika na kusema kupitia kinywa chako haya majeshi geuken mrudi mliptoka..so ukisoma hii story unaweza kuona ..kuna umuhimu sana wa kuishi kwa akili na wanawake..angalia pengine wakati huyu mwanamke akikimbia kwenda kwa dadui mumewe angemkataza mns wangefyekwa wote..kijana mmoja alisema naona tu wanawake wanaitwa wapumbavu wanaobomoa nyumba zao..so ujue kuna wanaume wapumbavu nao...kumbuka hekima ya huyu mwanamama ndio iliowapa kuendelea kuwa hai. Heshimu mke wa ujana wako bana kuna starehe yake...ndoa nyingi zinafungwa kwa njia za mapepo isiwe yako in jesus name...je

  kuna nabaali wangapi leo hii....ndgu mpendwa ni wakati wa kuachana na maisha ya nabali na kuanza kumpenda mkeo na kumtumikia mungu ..si mbaya kuwaaga jumatatu njema na mungu akaponye ndoa zenu...usiogope ndoa ogopa garama ya kutunza ndoa ukiliweza hilo mbingu unaanza kuiona hapa duniani..aijalishi umearibu kiasi gan bado una nafasi ya kuanza kuamua na kubadilisha maisha yako...


  Mbarikiwe
  jumatatu njema
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Pdidy
  somo zuri kwa wote waliopo kwenye ndoa na watarajiwa
  wanandoa wengi wanasahau kusoma vitabu vitakatifu
  kuna maneno mengi yameandikwa humo kwa ajili ya kuweza kuziimarisha ndoa na wanandoa kutokukata tamaa/ kufarijiana
  asante kwa elimu yako Mkuu na kutumia vifungu vya maneno kwenye baibo
   
 3. K

  Kimla JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,495
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  tUSHUKURU PDIDY KWA USHAURI.SWALI KWAKO ,JE YULE DEMU WA CBE UNAAMUA KUMUACHA!!!!!!!!!!
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Habar ndefu kwenye MMU zinatia uvivu kusoma!
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mume mke mume mke haya mlionao jitokezeni
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kasema ivi;muheshimu nkeo

  usimtukane mkeo/wanawake cz kuna wanawake wenye busara na hekima na ambao waliweza kuokoa koo zao kwa busara zao baada ya waume zao kuharibu kwa upumbavu wao

  mpende mke wa ujana wako ili uione pepo apa apa dunian
   
Loading...