NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
Hii c kweli kabisa,kwa ukweli c kwamba wanpendeleana ofcn ni kweli wahaya wameenda shule jamani na hawawezi kutolerate mawzo ambayo hayajengi.Wenzetu madarasa waliyaona mapema saana na sasa bado wanendelea kwa hili hamna kujidai tuwe wa kweli. Tatizo la kusema eti hamna kugombea urahisi ni kwa sabau ya wivu tu maana watu wengi hasa kwenye vyuo vikuu wahaya ni wengi saana na wana uwezo wa ktatua mambo. Ebu amkeni,angalia mbele,peleka ndugu zenu na muwahamashishe wasome ili wawe na uelewa wa mambo.
Remember education is power!!
Habari za mapenzi ni minor saana hapa,hazipaswi hata kuongelea no body is perfect ktk hili,kila kabila lina mapungufu yake na yanatofautiana pia.
Hapo kweli umenena mimi nimesoma nao sehemu mbali mbali tabia ndo hiyo hiyo ya kujiona wao bab'kubwa ninaye mwingine mhaya jilani yetu dah balaa yeye ni kuponda tu utasikia aaah utanunuaje baloon mala baloon si gari nunua Vogue yeye huku hana hata pikipiki au baiskeli basi anajiona balaa kama tajiri haishi kujivunia kwa Karamagi eti mjomba'ake duh hawa watu mmh!
jaribu kuchunguza kwa undani makabila ya kanda ya ziwa kasoro Tarime, suala la kutahiri ni aghalabu sana unless uwe kwenye position ya kutembelewa mara kwa mara mwilini na wanamama. Angalia pia hata college nyingi kukiwa na jamii kubwa ya makabila ya kanda ya ziwa suala la utani wa mapenzi kutoka kwa kina baba kwenda kwa wasichana lina nafasi ndogo sana na hata kama lipo ni kwa wale wajanja tu waliomenya!!! Au natania JF members?Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu
katerero
alienitoa usichana wangu alikuwa ni muhaya, akataka kununua jumla, wazazi waliniuliza kama kweli ndio nimechagua mchumba mpaka nimefikia hapo niliwajibu" ndio chaguo la moyo wangu", nikapewa go ahead! nili sarenda mwenyewe, wahaya hawaja2lia 100%, dunia ya leo hakuna u2livu but wahaya too much, alimpata mdada mwingine wakafunga ndoa haikupita miezi 3 ndoa ilivunjika, last year sept alimpata mdada mwingine mambo yakawa hivyo hivyo,yani kuishi na muhaya ina hitaji moyo haswa, kwa wadada nao ndio kama kaka zao! wanamajidai/wanajisikia/dharau/wanajiona juu wakati wote....
Haya sasa Son of Alaska haya ndo umeyataka mwenyewe sasa shauri yako. Na wakaka wengi wa Kihaya watakulaumu kwa kuanzisha huu mjadala kwani wapo wengine wataachwa na wachumba zao ambao si wahaya wenzao kwa kuhofia kunyanyaswa na kisha kuachwa solemba.
siwezi ku-comment kwenye hili....kwani siwapendi wahaya hata kidogo.....kuna binti mmoja nilimtokea akaniambia anachotaka sio pesa wala nini...ila anataka niwe RIJALI wa nguvu tu na yeye ni daily anataka game....nani anaweza haya mambo ya kurukiana kila siku....hata siku nimerushwa pesa kwenye biashara zangu?? No! No!
wewe sipo naona you are in the wrong forum,huwapendi wahaya hata kidogo.This at most is cheap talk not worth of space in JF
OOoh yeah hii post nilikuwa naignore mwanzoni kumbe inaelekea kuzuri! Kuna ndugu yangu aliowa mhaya anayetokea maeneo ya Kanyigo, alikuwa anakuja kutulalamikia mke wake anapenda mpingo all da tyme, hata akiwa mwezini...tulimshauri labda ni ujana baada ya muda atapoa....jamaa anadai mkewe kadri siku ziendavyo ndivyo anavyozidi kupenda mpingo!! Jamaa huchapa kila siku sasa amezoea jamaa akiwa seminar mkewe lazima awepo duuuu sijui kama mademu wote wa kihaya wako hivyi libido 100%