Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Mara nyingi nchi maskini zinawatu wanaoangalia matumbo yao,njaa ikihamia kichwani waweza kuangukia patupu ,inahitajika akili ya ziada.Wapo wengi wenye njaa kama CWT,TAALGU,RAAU na TUCTA haki za watumishi wao zimeminywa wao wamekaa kimya wanadai eti Mungu atawasaidia
 
- Haya ni maneno ya shombo sana, kwa mujibu wa maelezo ya jana RC hakuwaomba TEF kukutana naye ni TEF ndio waliomtafuta.
TEF walipata faida gani kwa kung'ang'ania kukutana na Makonda wakati Makonda mwenyewe hakuwa na haja ya kukutana nao. Ama TEF walipata wasiwasi kwamba kama Ruge na Makonda wakipatana kabla ya wao kuonana na Makonda watakuwa wamepoteza "Credibility" yao kwa kuwa Clouds itavunja zuio la kutokuonesha mambo ya Makonda bila ya ruhusa ya TEF?
 
Kama TEF hamuelewani ni matatizo yenu wenyewe hamtakiwi kumuingiza RC cause msimamo wa RC mlikuwa mnaujua toka mapema kwamba hana mpango wa kuomba radhi kwa na aliwaaambia staright in your face kuwa hana mpango wa kukutana na Ruge uso kwa uso, sasa knowing all these in advance kwa nini mliitisha kikao?
Kwa ivo jana hakukuwa na upatanishi na kama Clouds wameanza kuonesha mambo ya Makonda inawezekana inatokana na watazamaji wake walipungua kutokana na kutokuonesha mambo ya Makonda. Kumbe TEF mwanzoni tu mwa mazungumzo kama wangekuwa ni jasiri walitakiwa waondoke.
 
I mean TEF mnahitaji kutafuta wanasheria wa kuwemo kwenye chama chenu ambao watawasaidia na ishus nzito kama hizi za nani kavamia na nani hakuvamia, yaani RC siku zote anaingia ndani kwenu na kutoka halafu ghafla useme kavamia? hahahahah mambo ya kitoto sana
Kumbe Clouds walitakiwa kushitaki badala ya kukaa kimya ili ikaamuliwe mbele ya safari kama Makonda alivamia ama hakuvamia Kituo chao.
 
inasikitisha sana ambapo TEF walitoa tamko la pamoja kuwa hawataandika habari zake wala kushirikiana naye HADI ATAKAPOOMBA MSAMAHA.
jamaa kawagomea kuomba msamaha LIVE na kinyume chake wao wakaomba yaishe.
aibu gani hii nyie TEF!

Naona Ban inaendelea na wala Rushwa wameelekezwa kuachia madaraka
 
Naona Ban inaendelea na wala Rushwa wameelekezwa kuachia madaraka
TEF wao ndo walikuwa wamekosewa !? Wanavyo vyombo vya habari wanamiliki ?....kwa sababu wameigeuza issue binafsi dhidi ya makonda aibu haiko mbali nao
 
Back
Top Bottom