Kuomba radhi kwa kosa gani, hao wajumbe wa kamati ya Nape jana wenyewe wamethibitisha jamaa akuvamia kituoBashite hana adabu hata kidogo na upeo wake wa kufikiri ni mdogo ameshindwa kabisa kutafakari kuwa kuomba msamaha ni moja kati ya matendo uungwana!
Hizi ni hisia zako, wahariri sijui TEF wenyewe wamekiri ndo walimfuata MakondaNIMESHANGAA KUONA BASHITE ANAKUBALI KIRAHISI KUHUDHURIA KITIMOTO AMBACHO KUMBE YEYE NDIO AMEKIASISI KWA KUWAPA BAADHI YA WACHUMIA TUMBO KUKUBALI KUPINDWA NA MTOTO MDOGO. NJAA MBAYA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kosa lipi?Makunga anapaswa kuondolewa ni wazi kala rushwa
Wale wachangiaji wa gharama si wapo sasa itashindikanaje kuwalipa!?Utitiri wa waganga wa kienyeji ukisambaratika kwa kushindwa kuwalipa ndipo Mtukufu atamgeuka
Ndani ya CCM hakuna watu wa Kaskazini?Hahahaha, kwa kweli Tz imejaa vilazaa. Naamini wapo wenye weledi na maadili ya uandishi. Mengi na ITV wanaugomvi na Dkt Magufuli kwa sababu mtu wa kaskzini alishindwa urais, watu wa kazkazini wana chuki na serikali ya awamu ya 5
ukweli waandishi wengi wako mfukoni kwa matajiri wa dawa za kulevya. kama aliyedai kavamiwa ndio huyo kageuka waandishi kama hawana jambo dhidi ya makonda wanahamaki nini sasa.Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.
Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.
Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.
Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
nchi nzima imejaa woga mtupu hakuna taasisi hata moja (HATA MOJA) inayofanya kazi kwa weledi,kila pahala ni maagizo matupu
Bila aibu kabisa wanaibuka na kusema "ni sisi ndio tulimfuata kumuomba yaishe" What nonsense.Makunga anapaswa kuondolewa ni wazi kala rushwa
.nchi nzima imejaa woga mtupu hakuna taasisi hata moja (HATA MOJA) inayofanya kazi kwa weledi,kila pahala ni maagizo matupu
Natamani umoja wao ungekuwa umoja na msimamo wa wananchi kwa mtu flani
Kama tumepata Raisi wa kutuunganisha mbona wewe unatugawa kikanda?Hahahaha, kwa kweli Tz imejaa vilazaa. Naamini wapo wenye weledi na maadili ya uandishi. Mengi na ITV wanaugomvi na Dkt Magufuli kwa sababu mtu wa kaskzini alishindwa urais, watu wa kazkazini wana chuki na serikali ya awamu ya 5 kwa sababu waliamini eti wao ndiyo wenye haki miliki ya kuiba na kutawala nchi hii, watu wa kazkazini ndiyo wanaongoza kwa kuiibia/kufanya ufisadi, na ndiyo maana sehemu kubwa unakuta wameendeleza makwao, leo hii tumepata rais anayetuunganisha then watu mnaanza kuleta unafiki. Watu wa kazkazini mpaka wachungaji/manabii ili mradi tu wake zao wanatoka kazkazini basi nao wameingia kwenye mkubo. Hakika system haitakuja kuwaacha salama watu wa kazkazini. Kama wewe ni muelewa huu ugomvi kaa mbali, acha system ifanye kazi ili kuleta usawa, hatutaki mambo ya wakikuyu hapa Tz, lazima nchi hii kila kabila liwe na haki ya kutawa, tuna hitaji kuchagua viongozi wetu kulingana na sifa, na siyo kuchagua kwa sababu eti lowasa anatoka kazkazini, na siyo eti ITV wanamuonesha lowasa sana kwenye kampeni kwa sababu ni wa kazkazini. Kaeni mjitafakari sana enyi wapumbavu!