Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Hilo gazeti hawajitambui ndio maana siku hizi halina mtu wa kulinunua

In God we trust
 
TUHUMA ZA RUSHWA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA.

Jukwaa la Wahariri, TEF ni miongoni mwa Taasisi nchini ambazo weledi wake ulipaswa kuwa ndio kiini cha utendaji wa tasnia ya habari. Hali hiyo haipo kwa TEF ya Mzee Theofili Makunga baada ya taarifa kusambaa kuwa Kamati ya utendaji wa jukwaa hilo imejikuta ikishindwa kuelewana kutokana na baadhi ya wajumbe kutuhumiwa kupewa rushwa na Mkuu wa mkoa wa Dar na kumsafisha tuhuma zinazomkabili kuvamia kituo cha Radio.

Kwa wale wasiofahamu Mwenyekiti wa TEF, Ndugu Theofili Makunga amepewa rushwa na Makonda ili kuhakikisha kuwa mkutano ulioitishwa siku ya leo unamsafisha RC na kuifanya kamati iliyoundwa na Mh Nape ionekane ina Makosa na mapungufu makubwa katika kuchunguza tuhuma za uvamizi alizozifanya siku chache zilizopita katika kituo cha Habari cha Clouds Media.

Na ndio maana hata mjumbe wa Kamati hiyo Neville Meena amelalamika kutokuwepo kwa ushirikiano kwa baadhi ya wajumbe wa jukwaa la Wahariri.

Aidha, baada ya waandishi kuuliza maswali kutokana na sintofahamu ya kutokujua nini hasa lengo la mkutano wa leo, Waandishi walishikiza Makonda aombe radhi mbele ya waandishi wa Habari na watanzania kwa ujumla badala yake kauli ya msamaha ilitoka mdomoni kwa mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri ndugu Theofili Makunga ambaye Alisema dhamira yao inawasuta na hawaoni haja ya kuzuia kuandika habari za Makonda ndipo ukumbi mzima ukaanza kuguna kutokubaliana na alichokisema mwenyekiti huyo.

Niwasihi waandishi wenzangu wenye weledi na tasnia hii ya habari msiingie kwenye mtego huu wa panya. Watanaswa na wasiokuwemo.

Naamini TAKUKURU wanafuatilia kwa karibu tukio hili. Hakuna linalofanyika gizani TAKUKURU wasilijue. Naamini kuwa wanaendelea kuchunguza miamala ya kibenki ya na kwenye simu ya Wajumbe hao wa Jukwaa la habari Tanzania (TEF) ili kubaini kiasi cha fedha waoichopata ili kumbeba Makonda.

Kinachotakiwa kufanyika ni kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za TEF Mh Makonda alipaswa kuomba radhi Kwa tuhuma tu zinazomkabili ni sababu tosha za yeye kuomba radhi.

TEF inakosa credibility ya kuendelea kusimamia jukwaa la habari kwa kitendo cha leo kutokana na mgawanyiko uliopo na hizi tuhuma za Rushwa.

Nashauri Mwenyekiti wa Kamati ile ya Mh Nape Nnauye, Ndugu Deo Balile aachie ngazi mara moja kwa kushindwa kusimamia msimamo wake wa awali pamoja na wajumbe wote wa kamati wamepoteza sifa za kuendelea kusimamia jukwaa la wahariri.

Nashauri Wajumbe wengine wateuliwe haraka iwezekanavyo ili wasimamie Jukwaa hilo.

Nawasilisha.
Mhariri Gazeti la Rai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa kuonyesha weledi na ukomavu pamoja na kutanguliza uzalendo

In God we trust
 
kuna jambo nafikiri kuliona ni zaidi ya macho yetu haya ya nyama.fatilia kila jambo analolifanya makonda katika matamko na utendaji wake.......matokeo huwa yakumdhalilisha sana.Mungu anatenda sawa sawa na maombi ya walio wanyonge.sio kwa kiburi kile bwana makonda huku ukimkufuru mwenyezi.huwezi baki salama.
 
Hii ni aibu kubwa kwa tasnia ya habari.. Na hii kutokana kuwapo na makanjanja wengi ambao wanaongozwa na matumbo yao badala ya akili..
Hata ukiwatazama sura zao tu wanajionyesha

Hukumu ya rc Cleruu inamfaa mno bashite, anapewa kiburi na sizonje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jambo nafikiri kuliona ni zaidi ya macho yetu haya ya nyama.fatilia kila jambo analolifanya makonda katika matamko na utendaji wake.......matokeo huwa yakumdhalilisha sana.Mungu anatenda sawa sawa na maombi ya walio wanyonge.sio kwa kiburi kile bwana makonda huku ukimkufuru mwenyezi.huwezi baki salama.
Umewaza kama niwazavyo ila ni wachache sana watakuelewa.
 
watu wawili wanaugonvi binafsi, taasisi zinaingila mgogoro huo kwa pupa! acha waburuzane,
 
- Haya ni maneno ya shombo sana, kwa mujibu wa maelezo ya jana RC hakuwaomba TEF kukutana naye ni TEF ndio waliomtafuta. Kama TEF hamuelewani ni matatizo yenu wenyewe hamtakiwi kumuingiza RC cause msimamo wa RC mlikuwa mnaujua toka mapema kwamba hana mpango wa kuomba radhi kwa na aliwaaambia staright in your face kuwa hana mpango wa kukutana na Ruge uso kwa uso, sasa knowing all these in advance kwa nini mliitisha kikao?

- I mean TEF mnahitaji kutafuta wanasheria wa kuwemo kwenye chama chenu ambao watawasaidia na ishus nzito kama hizi za nani kavamia na nani hakuvamia, yaani RC siku zote anaingia ndani kwenu na kutoka halafu ghafla useme kavamia? hahahahah mambo ya kitoto sana

- RC katoa rushwa na ulijua mapema kwa nini hukuandika mapema badala yake unakuja kuandika leo baada ya TEF kushindwa? Tuliwaambia nyie ni makanjanja na hiyo TEF yenu ingekuwapo kweli mgepigana kulipwa mishahara mizuri sio kusubiri "kuvamiwa", poleni sana ila mumuandike msiimuandike RC hawahitaji, Na Takukuru wanatakiwa wakukamate wewe kwanza uwasaidie info za RC kutoa rushwa

le Mutuz
wewe kubwa jinga kula kulala huna familia wala mtoto unaishi nyumbani kwa Bashite Tambua kuwa Si Ruge wala TEF walitaka kuonana na Daud Bashite bali waliamua kufanya vile kwa heshima ya magufuli lakini kwa kuwa Daud Bashite kaonyesha dharau kubwa kisa mnajivunia Rushwa ipo siku mtaumbuka hasa wewe tumbo tumbo ipo siku utachezea kichapo mpaka ujinyee maana umekuwa mjinga sana, udalali wa siasa kila kona ilipo Dili ya CCM kudhoofisha upinzani unajipenyeza hadi kwa Lipumba upo ipo siku wana CUF watazaa na wewe
 
TUHUMA ZA RUSHWA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA.

Jukwaa la Wahariri, TEF ni miongoni mwa Taasisi nchini ambazo weledi wake ulipaswa kuwa ndio kiini cha utendaji wa tasnia ya habari. Hali hiyo haipo kwa TEF ya Mzee Theofili Makunga baada ya taarifa kusambaa kuwa Kamati ya utendaji wa jukwaa hilo imejikuta ikishindwa kuelewana kutokana na baadhi ya wajumbe kutuhumiwa kupewa rushwa na Mkuu wa mkoa wa Dar na kumsafisha tuhuma zinazomkabili kuvamia kituo cha Radio.

Kwa wale wasiofahamu Mwenyekiti wa TEF, Ndugu Theofili Makunga amepewa rushwa na Makonda ili kuhakikisha kuwa mkutano ulioitishwa siku ya leo unamsafisha RC na kuifanya kamati iliyoundwa na Mh Nape ionekane ina Makosa na mapungufu makubwa katika kuchunguza tuhuma za uvamizi alizozifanya siku chache zilizopita katika kituo cha Habari cha Clouds Media.

Na ndio maana hata mjumbe wa Kamati hiyo Neville Meena amelalamika kutokuwepo kwa ushirikiano kwa baadhi ya wajumbe wa jukwaa la Wahariri.

Aidha, baada ya waandishi kuuliza maswali kutokana na sintofahamu ya kutokujua nini hasa lengo la mkutano wa leo, Waandishi walishikiza Makonda aombe radhi mbele ya waandishi wa Habari na watanzania kwa ujumla badala yake kauli ya msamaha ilitoka mdomoni kwa mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri ndugu Theofili Makunga ambaye Alisema dhamira yao inawasuta na hawaoni haja ya kuzuia kuandika habari za Makonda ndipo ukumbi mzima ukaanza kuguna kutokubaliana na alichokisema mwenyekiti huyo.

Niwasihi waandishi wenzangu wenye weledi na tasnia hii ya habari msiingie kwenye mtego huu wa panya. Watanaswa na wasiokuwemo.

Naamini TAKUKURU wanafuatilia kwa karibu tukio hili. Hakuna linalofanyika gizani TAKUKURU wasilijue. Naamini kuwa wanaendelea kuchunguza miamala ya kibenki ya na kwenye simu ya Wajumbe hao wa Jukwaa la habari Tanzania (TEF) ili kubaini kiasi cha fedha waoichopata ili kumbeba Makonda.

Kinachotakiwa kufanyika ni kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za TEF Mh Makonda alipaswa kuomba radhi Kwa tuhuma tu zinazomkabili ni sababu tosha za yeye kuomba radhi.

TEF inakosa credibility ya kuendelea kusimamia jukwaa la habari kwa kitendo cha leo kutokana na mgawanyiko uliopo na hizi tuhuma za Rushwa.

Nashauri Mwenyekiti wa Kamati ile ya Mh Nape Nnauye, Ndugu Deo Balile aachie ngazi mara moja kwa kushindwa kusimamia msimamo wake wa awali pamoja na wajumbe wote wa kamati wamepoteza sifa za kuendelea kusimamia jukwaa la wahariri.

Nashauri Wajumbe wengine wateuliwe haraka iwezekanavyo ili wasimamie Jukwaa hilo.

Nawasilisha.
Mhariri Gazeti la Rai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unakumbuka somo la History kule vidato kuna kitu ilisemwaga sana "DIVIDE &RULE" sasa hapo pambana na Kichwa chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom