Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

[emoji23] [emoji23] [emoji23] aliona mwenyekiti anaongea pumba
Jamaa kwa kweli walijichora sana ........... sijui ni maelekezo!!? Hivyo hawakuwa na jinsi!!

Inaelekea Bashite anataka kujisafisha kwa gharama kubwa. Ila Ruge kawaumbua sana .......... maana baada ya Ruge kuongea naona picha yote ikabadilika kabisa!! Kuna mwandishi moja aliwashauri vizuri sana. Kwa nini hawakukutana kwanza wote kwa pamoja nyuma ya pazia na kuyamaliza ndiyo waitishe hiyo Press conference!! They took Ruge for granted!! Hasa baada ya ule mkono jukwaani!!

By the way, Magu alijuaje Ruge yupo kwenye ufunguzi mpaka akapandishwa jukwaani kupeana mkono na makonda??
 
Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Binafsi nimewapuuzasana hawana la maana kabisa.
 
Ningewashangaa sana kama wangeyumbishwa na uyo mwehu a.k.a zero brain wa kolomije.Umungu mtu ni uko kolomije siyo kwa Watanzania.Namuonea huruma sana mke wake,maana laana zote za zero brain ana beba yeye.
 
Jamaa kwa kweli walijichora sana ........... sijui ni maelekezo!!? Hivyo hawakuwa na jinsi!!

Inaelekea Bashite anataka kujisafisha kwa gharama kubwa. Ila Ruge kawaumbua sana .......... maana baada ya Ruge kuongea naona picha yote ikabadilika kabisa!! Kuna mwandishi moja aliwashauri vizuri sana. Kwa nini hawakukutana kwanza wote kwa pamoja nyuma ya pazia na kuyamaliza ndiyo waitishe hiyo Press conference!! They took Ruge for granted!! Hasa baada ya ule mkono jukwaani!!

By the way, Magu alijuaje Ruge yupo kwenye ufunguzi mpaka akapandishwa jukwaani kupeana mkono na makonda??

- Sasa mbona kuna waliokwenda kuomba msahama kwa Waziri mwisho mtatulazimisha kuyasema yote hapa hahahahaha kwanini msikubali tu kwamba hamjui kilichotokea na wala kinachoendelea sasa hivi hahahahahahha

le Mutuz
 
Rushwa waziwazi

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Hizi sinema watashabikia wenye maziro na njaa tuu wengine tupobusy kutafakari jinsi ya watoto wetu kutoikuta hii serikali ....

- hahahaha EFM wana akili sana ndio maana walishituka mapema kuwa wanaingizwa chaka na wasiyoyajua hahahahahahha

le Mutuz
 
Viongozi wa jumuiya mbalimbali hapa Tanzania huwa ni wanafiki. Mfano mzuri ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Angalia jinsi wafanyakazi wanavyonyanyasika makazini, angalia jinsi wafanyakazi wanavyoumizwa juu ya mafao yao, wanaambiwa eti mpaka wasubiri miaka 55 ndipo waje kuchukua vijisenti vyao. Hii yote ni kwa sababu viongozi hao ni opportunists. Wanajali maslahi yao binafsi kiuchumi na kisiasa. Nachukia sana hizi jumuiya za hapa Tanznaia.
 
- Sasa mbona kuna waliokwenda kuomba msahama kwa Waziri mwisho mtatulazimisha kuyasema yote hapa hahahahaha kwanini msikubali tu kwamba hamjui kilichotokea na wala kinachoendelea sasa hivi hahahahahahha

le Mutuz
Le Mutuz, hayo ya nyuma ya pazia hatuwezi kuyajadili maana hatuyajui ............. nimecomment based on what I saw and heard, yesterday!!

Kama kuna watu wameomba msamaha labda watakuwa wametishiwa ............ ila the message is already sent!!
 
- I can see kwamba umeumia sana kuona RC akiwashinda TEF, pole sana ila kazi kazi sisi tunasonga mbele!

le Mutuz
 
Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Hakuna kitu kizuri kuongoza watu wenye elimu na wenye akili zao,huwapeleki peleki kama pepo,hongereni wahariri hakika mmetendea haki nafasi zenu kwei ninyi ni viongozi
 
TEF wangesema tuu kuwa, "kwa kuwa Mheshimiwa Rais ameshawapatanisha kule Tanga, TEF hatuna sababu ya kuendelea kufungia habari zake kutangazwa". Basi, ila ile sakrandimba ya jana haikuwa sahihi.
 
Acha kujichekesha mkuu, Hamna sehemu ya kuchekesha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-10_14-47-15.jpeg
 
Back
Top Bottom