Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Natoa pongezi kwa wahariri mliopuuzia utumbo wa viongozi wa TEF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUHUMA ZA RUSHWA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA.

Jukwaa la Wahariri, TEF ni miongoni mwa Taasisi nchini ambazo weledi wake ulipaswa kuwa ndio kiini cha utendaji wa tasnia ya habari. Hali hiyo haipo kwa TEF ya Mzee Theofili Makunga baada ya taarifa kusambaa kuwa Kamati ya utendaji wa jukwaa hilo imejikuta ikishindwa kuelewana kutokana na baadhi ya wajumbe kutuhumiwa kupewa rushwa na Mkuu wa mkoa wa Dar na kumsafisha tuhuma zinazomkabili kuvamia kituo cha Radio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako inamashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema nani wamepuuza, wee kipindi tuu wakiwa na mgomo walikuwa wanatamani kwenda kimya kimya ila waloshindwa tuu, alafu njaa kitu kingine ndugu mtoa post, mtu ukipigwa na njaa utamtafuta hata adui yako akupe hela, namaanisha makonda ana habari nyingi ambazo waandishi wangependa wawe nazo ambazo zingewaletea mkwanja, so hawawezi Fanya hivyo utaona. Kama cloudz tu watarusha za makonda hao wengine hata wasiporusha basi cloudz taifa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Baadhi ya wana TEF walipewa Rushwa na Daud Bashite lakini kiburi cha Bashite kimewakera wahariri ndiyo maana hawana mda na Bashite
 
Ila nimempenda sana Bashite maana kama walitengeneza picha aonekane anawaomba radhi ili yaishe, kawaumbua. Kwa maneno ya mzunguko ni kama vile anawaambia "niwaombe radhi kwani nyie ni kina nani"?
 
Kasema nani wamepuuza, wee kipindi tuu wakiwa na mgomo walikuwa wanatamani kwenda kimya kimya ila waloshindwa tuu, alafu njaa kitu kingine ndugu mtoa post, mtu ukipigwa na njaa utamtafuta hata adui yako akupe hela, namaanisha makonda ana habari nyingi ambazo waandishi wangependa wawe nazo ambazo zingewaletea mkwanja, so hawawezi Fanya hivyo utaona. Kama cloudz tu watarusha za makonda hao wengine hata wasiporusha basi cloudz taifa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kama magufuli asingemwita Ruge na Bashite live wangeendelea kubana ingawa makanjanja wanakosa pesa za Bashite, lakini kwa kuwa Bashite kaonyesha dharau kubwa wataendelea kubana kimya kimya japo wenye njaa wataenda kuchukua pesa kwake.
 
Mleta mada huwa anahangaika hadi huruma!

Sasa wewe ukikuta gazeti la tanzania daima kesho limeweka habari yeyote itakayohusu Makonda utajisikia.

......
 
Mleta mada huwa anahangaika hadi huruma!
Hata mimi namuonea huruma sana kwa nini anahangaika na watu wasiotambua thamani ya utu wao? Yaani kwani akikaa kimya atapungukiwa nini madhali wenyewe wamekubali kujidhalilisha. Au sivyo ndugu yangu!?
 
kama magufuli asingemwita Ruge na Bashite live wangeendelea kubana ingawa makanjanja wanakosa pesa za Bashite, lakini kwa kuwa Bashite kaonyesha dharau kubwa wataendelea kubana kimya kimya japo wenye njaa wataenda kuchukua pesa kwake.
Ila waache hao makanjanja wakachukue pesa kwake ila watambue kuwa pesa ya yule bwana hailiwi hivihivi, wamuulize soudy brown, alichukua mkwanja wa kumzalilisha gwajima, ruge kagoma kipindi kuruka kisha mjamaa kawatimbia na bakabaka studio. Ohoooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom