Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

Binafsi simkubali hata kidogo MAKONDA, laiti angekuwa muelewa angejiuzulu na kuanza kubukua mdogo mdogo then arudi kama mbunge na jamii itamuheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app

-
upload_2017-8-10_14-50-22.jpeg


- Kuanzia Jumatatu kama unaishi Mkoa wa Dar na unahitaji miguu ya bandia, ni kuenda kwa Ofisi ya RC unajiandikisha na utapimwa na kupewa bure, mengine baki nayo mkuu

le Mutuz
 
Ninachoshangaa mimi ni namna Balile na Makunga walivyopiga U-turn. na ukiangalia hakuna hoja ya maana. Makonda anabwabwaja tu tena kwa dharau. Na Le Mutus kaposti jamaa anatoa ofa ya miguu ya bure. yote hiyo ni kampeni ya kujipendekeza. ukiongeza na kitendo cha mkulu kuwaita eti kuwapatanisha Ruge na Makonda, wakati Makonda anatakiwa kuomba radhi, ni upuuzi wa hali ya juu
 
- Sasa mbona kuna waliokwenda kuomba msahama kwa Waziri mwisho mtatulazimisha kuyasema yote hapa hahahahaha kwanini msikubali tu kwamba hamjui kilichotokea na wala kinachoendelea sasa hivi hahahahahahha

le Mutuz
Kuomba radhi kwa sababu ipi?
 
Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya press conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.

Watu wamezidi viburi na kuota mapembe.
Akitoa vyeti nisione vyombo vingine vinaripoti, nataka Uhuru na TBC Lumumba tu ndo waripoti wengine si mnaringa, kaeni na kiburi chenu.
 
- Ok huwa siandiki matusi nashangaaa badala ya hoja umeandika matusi, vipi huna hoja?

le Mutuz
Hoja hujaiona hapo..hoja we ni linafiki na mtu wa kujipendekeza...boss wako bashite huyohuyo aliyewaita efm wauza madawa na wewe ukajifanya ku m support leo hiihii anaenda jukwaa la efm anaanza kuwasifia...ina maana boss wako kaamua kuungana rasmi na wauza madawa??
 
Kakataa sasa !.....jukwaa linachombo cha habari !?
 
I
- View attachment 562443

- Kuanzia Jumatatu kama unaishi Mkoa wa Dar na unahitaji miguu ya bandia, ni kuenda kwa Ofisi ya RC unajiandikisha na utapimwa na kupewa bure, mengine baki nayo mkuu

le Mutuz
Ila we babu unahangaika sanaa...sijawahi ona mwanaume anayependa kujipendekeza kwa wanaume wenzie kama wewe...hivi tangu link kiongozi kutwa anahaha kutafuta tu habari zake ziandikwe...anatafuta kick mda wote
 
Na usomi wao wameangukia pua inamàna kutoka kushikanishwa mikono na kiranja wa mku wa ccm bado makonda alikuwa hang'ai akamua kutoa rushwa ili yeye na baba yake warudi kwwnye magazeti haha makonda omba msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Makonda hakuwa na haja ya kutoa rushwa bana, cheki alivyowamudu wale watu wa TEF pale kwenye presser.

Umeongelea habari ya usomi. Yani Makonda pale ndio the least educated lakini alionekana anajua kujipanga vya kuongea kuliko wote wale.

Makonda amesimamia hoja kwamba walichopatana huko behind closed door hakukuwa na kuombana misamaha. Mwenyekiti wa TEF kaja pale akatokea yeye ndio anamuomba makonda msamaha. Jamaani kuna ugonjwa unaitwa senelity, umri ukisogea sana unakuwa senile. Yule babu wa TEF ni senile yule mtu. Balile yule nae kapata premature senelity, mgonjwa yule. Ushaona wapi mkuu wa Tume ya uchunguzi anaikana ripoti yake?
 
Kama ulifutilia ule mjadala wa wahariri, viongozi a TEF na Makonda, ulikuwa ni aibu na dharau kubwa kwa tasnia nzima ya habari. Kwa tafsiri iliyo wazi ni kuwa kikao kile kilikuwa ni cha TEF kumwomba radhi Makonda.

Kwa jeuri kubwa Makonda alisema haombi radhi na wasitegemee kama kuna siku atakuja kuomba radhi. Kumtaka Makonda aombe radhi yalikuwa ni maamuzi halali yaTEF kwa sababu yalikuwa ni maazimio yaliyopitishwa na kikao halali. Kama aliyetakiwa kuomba radhi hataki au hakubaliani, TEF ilitakiwa kuendelea na adhabu waliyoitoa bila ya kujali kama adhabu ile iliegemea kwenye ukweli au hapana.

Uamuzi ule wa awali wa TEF haukuwa wa kimahakama. Haukuwa uamuzi wa kukatiwa rufaa maana siyo jinai kutoandika habari za mtu fulani.

Kama TEF wanaamini kuwa adhabu waliyokuwa wameitoa ilikuwa imetosha, njia sahihi ilikuwa kuitisha kikao halalai na kutoa uamuzi kuwa adhabu iliyotolewa imetosha. Na hilo lingeweza kufanyika hata bila ya mwadhibiwa kuomba msamaha. Ukifungwa jela, ukamaliza adhabu yako, hulazimiki kwenda kumwomba msamaha aliyekukosea.

TEF imejiabisha, na sijui kama wanahabari wanaamini uongozi wa TEF bado una haki ya kuendelea kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hakuwa na haja ya kutoarushwa bana, cheki alivyowamudu wale watu wa TEF pale mkutanoni.

Umeongelea habari ya usomi. Yani Makonda pale ndio the least educated lakini alionekana anajua kujipanga vya kuongea kuliko wote wale.

Walichopatana huko behind closed door hakukuwa na kuombana misamaha. Mwenyekiti wa TEF kaja pale akatokea yeye ndio anamuomba makonda msamaha. Jamaani kuna ugonjwa unaitwa senelity, umri ukisogea sana unakuwa senile. Yule babu wa TEF ni senile yule mtu. Balile yule nae kapata premature seelity, mgonjwa kichwani. Ushaona wapi mkuu wa Tume ya uchunguzi anaikana ripoti yake?
acha uongo makonda pale sema ndo alikuwa anaongoza kwa kuongea kwa jeuri kuliko wote....ruge ndo mtu aliyeongea kwa kutumia akili kuliko wote
 
Ninachoshangaa mimi ni namna Balile na Makunga walivyopiga U-turn. na ukiangalia hakuna hoja ya maana. Makonda anabwabwaja tu tena kwa dharau. Na Le Mutus kaposti jamaa anatoa ofa ya miguu ya bure. yote hiyo ni kampeni ya kujipendekeza. ukiongeza na kitendo cha mkulu kuwaita eti kuwapatanisha Ruge na Makonda, wakati Makonda anatakiwa kuomba radhi, ni upuuzi wa hali ya juu
nyie endelezeni bifu lenu na Ndugai, wala hatutawauliza !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda hakuwa na haja ya kutoa rushwa bana, cheki alivyowamudu wale watu wa TEF pale kwenye presser.

Umeongelea habari ya usomi. Yani Makonda pale ndio the least educated lakini alionekana anajua kujipanga vya kuongea kuliko wote wale.

Makonda amesimamia hoja kwamba walichopatana huko behind closed door hakukuwa na kuombana misamaha. Mwenyekiti wa TEF kaja pale akatokea yeye ndio anamuomba makonda msamaha. Jamaani kuna ugonjwa unaitwa senelity, umri ukisogea sana unakuwa senile. Yule babu wa TEF ni senile yule mtu. Balile yule nae kapata premature seelity, mgonjwa kichwani. Ushaona wapi mkuu wa Tume ya uchunguzi anaikana ripoti yake?
unaonekana una mapenzi na makonda
 
Back
Top Bottom