Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

wahariri wa Tanzania ni njaa tu na bado wataendelea kusaliti sana
 
Mkuu umesema mwenyewe kwamba zimetumika 430 mil kwa wahariri, hapo unadhani kila mmoja kalamba kiasi gani, halafu amwachie mwandishi badala ya yeyey mwenyewe kuingia mbele! Chezea shekeli wewe
 
Hapo sasa mhariri gani yupo tayari kuacha pesa yote hiyo wakati wahariri wetu wanahalili njaa na matumbo yao.
 
mkuu lowasa ni balaa hizo 430 milioni ni kwa wahariri tu.vipi kuhusu tv? tumeambiwa hotuba yake itarushwa live na itv;channel 10,clouds,star tv na maredio kibao. huu mkutano huenda ukatumia kati ya milioni 800 mpaka bilion. na hapo ajaenda kuchukua fomu dodoma. watanzania tusipotumia vichwa kufikiri na tukatumia matumbo yetu kwa sababu ya njaa zetu. tutasaga meno nakujuta.
 
mkuu kuna kigogo mmoja kanitonya kwamba hii mbinu anayoitumia lowasa ndoambayo ilitumika kwa jk mwaka 2005.

l

Hilo Ni kweli kabisa aliwachafua akina sumaye, Shamed Salim, Mwadosya na wengine Bahati mbaya sana walichelewa kushitukia mpaka wakashituke alishawachafua mbaya kabisa...
 
Jakaya kamchagua E.Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.kwa mamlaka aliyonayo ya uraisi anao uwezo wa kuzuia kusanyiko lolote nchini,na kwa sheria za habari anao uwezo wa kuzia wasirushe hiyo habari live.
Ila kwa kwa kuwa riasi aliyepo madarakani ni Jakaya Kikwete ...... ha22ezi kumzuia mtu,ni muungwana sana.
 
Ccm ni zaidi ya Jehanam.... Sipati picha ingekuwa ni Chadema inhekuaje leo
 
Hapo sasa mhariri gani yupo tayari kuacha pesa yote hiyo wakati wahariri wetu wanahalili njaa na matumbo yao.

yaani ukiisha uchaguzi huu halafu kuna mhariri akaendelea kuishi Nyumba ya kupanga ainunue hata kigari basi huyo mhariri hatakaa anunue...
 
Hilo Ni kweli kabisa aliwachafua akina sumaye, Shamed Salim, Mwadosya na wengine Bahati mbaya sana walichelewa kushitukia mpaka wakashituke alishawachafua mbaya kabisa...

na nashangaa jk anataka kumgeuka mwenzake. kwa hsli iliyofikia loeasa hazuiliki ndani ya ccm.
 
Jakaya kamchagua E.Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.kwa mamlaka aliyonayo ya uraisi anao uwezo wa kuzuia kusanyiko lolote nchini,na kwa sheria za habari anao uwezo wa kuzia wasirushe hiyo habari live.
Ila kwa kwa kuwa riasi aliyepo madarakani ni Jakaya Kikwete ...... ha22ezi kumzuia mtu,ni muungwana sana.

kwa nini amzuie? hii ni haki ya lowasa kikatiba .
 
yaani ukiisha uchaguzi huu halafu kuna mhariri akaendelea kuishi Nyumba ya kupanga ainunue hata kigari basi huyo mhariri hatakaa anunue...

haa haa huenda mh. lowasa ameanza kutekeleza ile sera yake ya kuwaondoa umasikini wa tanzania kwa vitendo.
 
Unaambiwa "chama chetu kina demokrasia pana ".yaani hata wanaotiliwa shaka issue ya uadilifu wanapewa nafasi kugombea!!
 
Kwa vigezo vyetu watanzania vya kuangalia viongozi wenye mvuto kwa wananchi basi kwa hayo ayafanyayo Lowassa ni kawaida tu,kwa sababu utaupataje mvuto kwa wananchi?
 
Back
Top Bottom