Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,776
Mkuu hawakuwataja majina ila bila shaka atakuwa anatoka katika moja ya vyombo hivyo ulivyotaja.hebu weka mambo hadharani. ni mhariri wa gazeti gani aliyeuliza swali la kipumbaFU kama hilo? bila shaka atakuwa mhariri wa Habari Leo, Jamba Leo, Uhuru, Mzalendo, Majira au Daily News maana wahariri wa vyombo hivi ndio wanaojitoaga akili kila uchao.