Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

Baadhi ya wanahabari wa nchi hii na kwakweli ndio wengi, wanastahili kunyang'anywa vyeti vyeti na wanatakiwa warudi darasani.

These people are hopeless!
 
Ni aibu kubwa kwa wahariri wa nchi hii.Hii ni aibu yao wote
 
never interrupt your enemy when they are making a mistake,wapinzani mnaenda against huu msemo,acheni waweke mgombea wa hovyo kazi iwe nyepesi...mna matatizo gani nyinyi!!!!!?
 
Mkuu, Crashwise unakasirika nini sasa? Hizi ndo siasa za Bongo, mwacheni akajinadi, mbona hata Mbowe anarushwa Live na ITV na magazeti kibao! Mwisho wa siku watanzania watapembua pumba na mchele, huna haja ya kutokwa koromeo kwa kupiga kelele, we tulia muda wa maamuzi utafika.
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi inavituko sana. Mm ndio maana huwa siwaamini wasomi wa tanzania. Msomi anajidhalilisha kwa elf10?.
 
Mkuu, Crashwise unakasirika nini sasa? Hizi ndo siasa za Bongo, mwacheni akajinadi, mbona hata Mbowe anarushwa Live na ITV na magazeti kibao! Mwisho wa siku watanzania watapembua pumba na mchele, huna haja ya kutokwa koromeo kwa kupiga kelele, we tulia muda wa maamuzi utafika.

katika hili nakuunga nkono.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida Pro - Chadema wanawajadili wagombea wa CCM hii fursa ndani ya Chadema hamna kuna mgombea wa maisha ukimjadili tu unafukuzwa chama na kuitwa msaliti.

Crashwise vumilia tu kamanda mbona wahariri wa Tanzania Daima na Mawio wanaandika kwa kufuata maelekezo ya Mbowe hawajawa wasaliti.

Tulia dawa ikuuingie vipi utaenda uwanjani au unamuogopa Lema.

Kamanda haina haja ya kujiumiza kuli lia ndiyo siasa za Tanzania kila siku mnasema Arusha CCM hamna sasa tatizo lipo wapi kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Baadhi ya wanahabari wa nchi hii na kwakweli ndio wengi, wanastahili kunyang'anywa vyeti vyeti na wanatakiwa warudi darasani.

These people are hopeless!

Teh Teh Bavicha mmechanganyikiwa siku wa kianza kurushwa UKAWA napo utavifuta? TehTeh hii ndio maana ya demokrasia tulia dawa ikuingie...
Hivi mmemaliza kugombania majimbo?
 
binafsi sijaona kosa la waandishi. wao wanatawanya habari.wananchi wataamua.cha msingi waripoti kwa usawa
.
 
Kulikuwa na kamati ya maandalizi ilikuwa inaendelea hapa New Safari Hotel chini ya Mathias Manga na Papa King timbwili liliibuka baada ya Mathias Manga kusema ametumia mil 430 Kwa wahariri Wa vyombo vya Habari vyote nchini ambao tayari wako Arusha wakijiandaa na tamasha la kesho yaani leo Papa King alipinga mahesabu hayo kuwa walikubaliana watumie mil 220 iweje iongezeke kiasi hicho huku wakishindwa kuwaongezea wanafunzi Wa chuo cha Moshi ambao wamewalipa 10,000 kila mmoja licha ya kwamba walikuwa na manunguniko hali hiyo ilipelekea Mkurugenzi wa kampuni ya monaban kuingilia kati na kuhakikisha mambo yanaenda sawa... kuna maswali hapa ya kujiuliza kumbe wahariri wote Leo watakuwa stadium sheikh amri abeid ina maana hawawa amini waandishi wao je wanatuambia sisi wasomaji kuwa sasa tusi amini magazeti mpaka wahariri wawe eneo la tukio..
2. wanafunzi kulipwa 10,000 ili kusaliti watanzania na kwenda kumpigia makofi jambazi ambaye alipaswa kuchomwa moto kumbe nikiwa na 10000 naweza kupata hata visifuli vyao, hii inazidi kaiaibisha elimu ya mtoto Wa mtanzania eti mwanafunzi Wa chuo kununuliwa Kwa 10000 huu Ni utahira kabisa hata kama hamjapewa mkopo wenu...
3. Jambazi kama unatumia 430 Kwa wahariri tu siku ya kutangaza nia je mpaka ukamalize kampeni utakuwa umetumia kiasi gani? na utazirejeshaje hizo pesa...

Ama kweli Tanzania nchi ya kitu kidogo siyo wachungaji, masheikh, wahariri, waandishi, wanafunzi naomba Mungu awape ufahamu wakutambua mazuri na mabaya mmykatae jambazi kama nakama mbafanya hivyo kumalizua Nyumba zenu ombi langu msutumie kalamu zenu kuwapotosha watanzania...

Umepanic mpaka unatia huruma!
 
kulikuwa na kamati ya maandalizi ilikuwa inaendelea hapa new safari hotel chini ya mathias manga na papa king timbwili liliibuka baada ya mathias manga kusema ametumia mil 430 kwa wahariri wa vyombo vya habari vyote nchini ambao tayari wako arusha wakijiandaa na tamasha la kesho yaani leo papa king alipinga mahesabu hayo kuwa walikubaliana watumie mil 220 iweje iongezeke kiasi hicho huku wakishindwa kuwaongezea wanafunzi wa chuo cha moshi ambao wamewalipa 10,000 kila mmoja licha ya kwamba walikuwa na manunguniko hali hiyo ilipelekea mkurugenzi wa kampuni ya monaban kuingilia kati na kuhakikisha mambo yanaenda sawa... Kuna maswali hapa ya kujiuliza kumbe wahariri wote leo watakuwa stadium sheikh amri abeid ina maana hawawa amini waandishi wao je wanatuambia sisi wasomaji kuwa sasa tusi amini magazeti mpaka wahariri wawe eneo la tukio..
2. Wanafunzi kulipwa 10,000 ili kusaliti watanzania na kwenda kumpigia makofi jambazi ambaye alipaswa kuchomwa moto kumbe nikiwa na 10000 naweza kupata hata visifuli vyao, hii inazidi kaiaibisha elimu ya mtoto wa mtanzania eti mwanafunzi wa chuo kununuliwa kwa 10000 huu ni utahira kabisa hata kama hamjapewa mkopo wenu...
3. Jambazi kama unatumia 430 kwa wahariri tu siku ya kutangaza nia je mpaka ukamalize kampeni utakuwa umetumia kiasi gani? Na utazirejeshaje hizo pesa...

Ama kweli tanzania nchi ya kitu kidogo siyo wachungaji, masheikh, wahariri, waandishi, wanafunzi naomba mungu awape ufahamu wakutambua mazuri na mabaya mmykatae jambazi kama nakama mbafanya hivyo kumalizua nyumba zenu ombi langu msutumie kalamu zenu kuwapotosha watanzania...

moja ya vitu vinavyotugharimu watanzania ni uongo, ivi unapodaganya unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom