billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,442
- 1,662
Wanazani kuwa ni mjinga anajua akiingia ikulu atazirudishaje we waache wanaona raha subiri
Hivi mwandishi unamuuliza Lowassa eti huoni watu kukuita wewe Edo wanakukosoe heshima? Hili ndio swali la kumuuliza anaetaka uraisi kweli?Huyu ni mwandishi au kanjanja?binafsi sijaona kosa la waandishi. wao wanatawanya habari.wananchi wataamua.cha msingi waripoti kwa usawa
.
Ungevifuta vyeti vya waandishi gani wa Tanzania Daima na Mawio?Baadhi ya wanahabari wa nchi hii na kwakweli ndio wengi, wanastahili kunyang'anywa vyeti vyeti na wanatakiwa warudi darasani.
These people are hopeless!
Teh Teh Bavicha mmechanganyikiwa siku wa kianza kurushwa UKAWA napo utavifuta? TehTeh hii ndio maana ya demokrasia tulia dawa ikuingie...
Hivi mmemaliza kugombania majimbo?
Hivi mwandishi unamuuliza Lowassa eti huoni watu kukuita wewe Edo wanakukosoe heshima? Hili ndio swali la kumuuliza anaetaka uraisi kweli?Huyu ni mwandishi au kanjanja?
Swali lingine.Ni kweli wewe ulikuwa captain wa jeshi?
Hayo ndio maswali?
Udhalimu wa waandishi wa habari na wahariri wao haukuanza leo. Marehemu Ben Rashid Mtobwa (mwenyezi MUNGU akurehemu na kukupa raha na mwana wa milele) alipoandika kitabu cha "PESA ZAKO ZINANUKA" miaka 30 iliyopita, aliuelezea udhalimu wa waandishi wa habari na wahariri wao kwa kupokea rushwa, kuugandamiza ukweli na kuonea. Waandishi wa habari na wahariri wao kwa kupewa vibahasha wameuza utu wao na kuwasaliti watanzania.Baadhi ya wanahabari wa nchi hii na kwakweli ndio wengi, wanastahili kunyang'anywa vyeti vyeti na wanatakiwa warudi darasani.
These people are hopeless!
mimi pesa yangu ndogo niliyonayo inamsubiri Mheshimiwa Dr.Wilbroad Slaa endapo akiamua kugombea Urais na siyo fisadi awaye yeyote yule
Kubenea ulikuwa wapi carrier inadhalilishwa
Moderator thread yangu inauhusiano gani na hii au nanyie Ni moja ya wahariri mliolamba mil 430 mpaka zikasavabisha tibwili kati ya manga na papa king..
Hivi mwandishi unamuuliza Lowassa eti huoni watu kukuita wewe Edo wanakukosoe heshima? Hili ndio swali la kumuuliza anaetaka uraisi kweli?Huyu ni mwandishi au kanjanja?
Swali lingine.Ni kweli wewe ulikuwa captain wa jeshi?
Hayo ndio maswali?
Ungevifuta vyeti vya waandishi gani wa Tanzania Daima na Mawio?
Ndio hawa wahariri wanalia sasa baada ya kutungiwa mswada kiboko.So we ulitaka walie?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums