Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Hii kali jamani na ndiyo maana tunakosa baraka. Unachukia wageni sababu ya chakula! lo! Mgeni anatumia garama kubwa kuja kwako sababu ya upendo wake kwako. Nauli anayotumia, je asingeweza nunua chakula akala nyumbani kwake? Wengine hawatoi taarifa ili kuepusha mwenyeji kuingia garama za maandalizi na wanatosheka na kila watakachokikuta. Tubadilike lo!
 
Mi naweza sema ni baraka kwn hapa kwangu tangu leo saa nne mpk hv nachat hawakatiki na hata mabest waliofika na kuona hv wakaamua na wao kuzama mifukoni mwao ili kuninusuru kwani wameona MELI inataka kuzama! Ama kweli MAISHA ni WATU.!
 
Hii kali jamani na ndiyo maana tunakosa baraka. Unachukia wageni sababu ya chakula! lo! Mgeni anatumia garama kubwa kuja kwako sababu ya upendo wake kwako. Nauli anayotumia, je asingeweza nunua chakula akala nyumbani kwake? Wengine hawatoi taarifa ili kuepusha mwenyeji kuingia garama za maandalizi na wanatosheka na kila watakachokikuta. Tubadilike lo!

Kiganda sio suala la kuwa watatosheka na watakachokikuta. Kuna ubaya gani wa kutoa taarifa mapema tu kidogo kuwa sisi tunakuja huko pia.

Kwa sababu kwa experience yangu, wageni mkiwa wingi wa ghafla chakula kitabidi tu kiongezwe. Kwa hiyo bora watu wahangaike mapema kupika ili nao waenjoy company yako
 
Hili nalo neno!!!
 
na ww acha hizo,kwani wageni wakija kukutembelea lazima uwaandalie chakula?hata kupiga nao story za hapa na pale ni ukarimu tosha.
 
Mie nilikuwa narejelea wageni wale wa kuja mchana, wakati wa kula.
 
Hii kali jamani na ndiyo maana tunakosa baraka. Unachukia wageni sababu ya chakula! lo! Mgeni anatumia garama kubwa kuja kwako sababu ya upendo wake kwako. Nauli anayotumia, je asingeweza nunua chakula akala nyumbani kwake? Wengine hawatoi taarifa ili kuepusha mwenyeji kuingia garama za maandalizi na wanatosheka na kila watakachokikuta. Tubadilike lo!

hatusemi wageni wasije au wakija tukasirike
tunasema kama simu zipo
si upige mapema kuwa unakuja?????
kuliko kwenda kwa mtu ghafla????

ishu sio chakula hapa,ishu ni mgeni na mahitaji yake hata kama 'ni kupiga story tu'
je wewe ukijua mapema kuna mtu anakuja kupiga story si better? kuliko unajiandaa kutoka au kulala
mara watu hao...
 
na ww acha hizo,kwani wageni wakija kukutembelea lazima uwaandalie chakula?hata kupiga nao story za hapa na pale ni ukarimu tosha.

kama sijisikii kuongea nataka 'kushinda jf na lap top yangu' huku nimevaa bukta.kifua wazi je?
mfano huo???
 
Mwenzio Juzi kati nimeandaa menu ya watu watatu ghafla bin vuu mida ya saa moja na nusu usiku wageni wanne wanaingia lol tunapiga story hata sioni dalili za wageni kuaga ngoja nikomee hapa The Boss

First Lady unawatolea nje tu watu kama hao. Jamani sie tumepika chakula cha watu watatu hatukujua kama mnakuja mtatusamehe. Unawapa matunda kama unayo au kuwatafutia Juice na nyinyi kuendelea na msosi wenu. Tabia hii kusema kweli mimi huwa inanikera sana ya mtu kuzuka nyumbani bila kukaribishwa mara nyingi karubu na saa za msosi halafu wakati mwingine kabeba na marafiki zake labda wawili au zaidi.
 
We unahishi wapi??? hapo unawaambia chakula ni cha watu wa3 ila mnakaa wote, mnachangia hicho hicho, namatunda na juice wote kwa pamoja. Kama wataamua wenyewe kusema hawali ni sawa lakini wakiwa kwako na ndio saa za chakula basi ni rizki yao bwana. Msiwe hivo ndugu zangu...
 
RR kuna watu wengine wanafanya hii kuwa ni tabia yao kila mara hufanya hivi labda kwa mwezi mara tatu au nne (hasa weekend na siku za sikukuu) , watu kama hawa ni lazima kuwafahamisha kwamba hali hii haikubaliki lakini kama inatokea mara moja moja sana basi hakuna ubaya hata kuongeza chakula (kama kipo) ili nao wapate msosi.
 
First Lady unawatolea nje tu watu kama hao. Jamani sie tumepika chakula cha watu watatu hatukujua kama mnakuja mtatusamehe. Unawapa matunda kama unayo au kuwatafutia Juice na nyinyi kuendelea na msosi wenu. Tabia hii kusema kweli mimi huwa inanikera sana ya mtu kuzuka nyumbani bila kukaribishwa mara nyingi karubu na saa za msosi halafu wakati mwingine kabeba na marafiki zake labda wawili au zaidi.

BAK mwenzio ilibidi niingie jikoni kusongoloa ugali mida ya tatu na nusu maana dalili za kuondoka sikuziona mgeni aje kwako saa moja aondoke saa tano unampa juice,mie nilinuna maana nalala saa tatu na nusu watu hawaondoki nimepiga miayo kuwaonyesha kama nimechoka lakini hawasomi alama za nyakati siku nyingine nadhani nikisikia hodi naenda kulala RR usinimalize mwenzio
 
Watu mna roho mbaya hamna hata ubinadamu,
mbona sisi watoto wa majirani wanashinda kwetu
na iwe lunch au dinner wanakula sembuse wageni.
 
BAK mwenzio ilibidi niingie jikoni kusongoloa ugali mida ya tatu na nusu maana dalili za kuondoka sikuziona mgeni aje kwako saa moja aondoke saa tano unampa juice,mie nilinuna maana nalala saa tatu na nusu watu hawaondoki nimepiga miayo kuwaonyesha kama nimechoka lakini hawasomi alama za nyakati siku nyingine nadhani nikisikia hodi naenda kulala RR usinimalize mwenzio

Aaaa siku ya pili ukisikia hodi ile wamekaa tu, unawauliza jamani leo mnakula hapa nikapike?

Manake kuna wengine ile unaanza kupika mtu ananyanyuka anakwambia anaharaka.
 
BAK mwenzio ilibidi niingie jikoni kusongoloa ugali mida ya tatu na nusu maana dalili za kuondoka sikuziona mgeni aje kwako saa moja aondoke saa tano unampa juice,mie nilinuna maana nalala saa tatu na nusu watu hawaondoki nimepiga miayo kuwaonyesha kama nimechoka lakini hawasomi alama za nyakati siku nyingine nadhani nikisikia hodi naenda kulala RR usinimalize mwenzio

Pole sana FL1, wakati mwingine inabidi ufanye hivyo lakini wanajifanya hawaelewi kabisa, na kuendelea kusubiri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom