FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Msisahau leo ni Miss world kama sijasau tuendelee na Topic
Ndio hivo. Kuna ambao wamesalia mskiti wa mbali ila watakuja tu. Hakuna mgeni wa ghafla siku ya shughuli kama IDI bwana. Siku hiyo nyumba iko wazi kwa family gathering na watu mnakumbukana, mnajuliana hali na kukumbushana vya zamani. Kuna watu huwaoni zaidi ya siku hiyo sababu ya time schedule. Very nice surprise wakija unexpected!
watu tupo tofauti
mimi huwa napenda kujua nani na nani wanakuja kwangu
'sio ghafla' ulipanga bajeti ya watu wanne,ghafla una watu kumi na mbili
na wameingia 'lunch time' hadi 'wageni wako' hawa enjoy...
Kumbe? ngoja niende kwa ndugu yangu fulani ambae ana TV nitaangalia kwake. Sina pesa kwenye sim but najua atafurahi kuniona. lolMsisahau leo ni Miss world kama sijasau tuendelee na Topic
In fact hao wageni sio wajinga, wanaenda kwa yule ndugu ambae wanamuona kajiweza kidogo na mara nyingi huyo ndugu mwenyewe atakua na kitu for sikukuu. Kama huna kabisa kabisa basi inabidi na wewe uanze safari ya kwenda nao kwa next ndugu. lolRR kama huna kitu ndani unafanyaje maana maisha hayatabiriki haya?
bahati nzuri mie wananijua situlii nyumbani na mama ngina...........kila wakija hawatukuti, hiyo imewashikisha adabu huwa wanapiga simu kwanza............ na leo wote tumezima simu kwa raha zetu....................
au tayari umeaalika watu 20
ghafla 20 wengine 'wameibuka' pata picha hapo????/
Unaanza kukuna kichwa huku huna majibu ya nini kifanyike..
Ila akija demu bila taarifa, aaaaaaaaaah, hakuna noma kaja kakako unaona noma, mweeeeeeeee! Mi nkiwa sina kitu ndo presha huwa inapanda lakini kama ni fresh, hata ukoo ukija sina noma, mbona mie nimelelewa ktk makuzi ya kuwathamini wageni, waje kwa taarifa au la, haina kwere!
when you have enough for 20, you have nough for 40. lol. Kuchangia chakula ni suna bwana, msiposhiba ndio poa zaidi, inaonesha you really shared, hata kama hakikutosha. lolau tayari umeaalika watu 20
ghafla 20 wengine 'wameibuka' pata picha hapo????/
Jamani mmenikumbusha kwa mama yangu. Huuuuuh bibi ana wageni yule mpaka uta-blow!
Ameamua kuwa anaagiza chakula kwa wapishi.....na pale nyumbani anapika cha design nyengine kwa kuwa tu anajua atapata wageni kisha wengine watakuwa na "special diet" lol
Mara huyu hali pilau, yule hali chumvu, mwengine lazima chukuchuku! Kisha wanakuja ghafla tu...
Jamani mmenikumbusha kwa mama yangu. Huuuuuh bibi ana wageni yule mpaka uta-blow!
Ameamua kuwa anaagiza chakula kwa wapishi.....na pale nyumbani anapika cha design nyengine kwa kuwa tu anajua atapata wageni kisha wengine watakuwa na "special diet" lol
Mara huyu hali pilau, yule hali chumvu, mwengine lazima chukuchuku! Kisha wanakuja ghafla tu...
Gaijin umenichekesha sana ,lakini eti tunaamini wageni ni baraka nyumba isiyo na wageni ...
Huyo usimlei sana. Mwambie tu hakuna utaona anafinya ule ule wa chumvi na sukari. alafu anakwambia baadae atapiga sindano. lolumeona sasa?
mtu anataka 'special diet' kwa mtu ghafla bin vuu.....lol
ukiuliza nini eti tupate 'thawabu' lol
Huyo usilmei sana. Mwambie tu hakuna utaona anafinya ule ule wa chumvi na sukari. alafu anakwambia baada atapiga sindano. lol
Hahahaha, hizo si za zamani? sisi tunaongelea leo hii, unampata shangazi majaliwa kaja na unoko wake, anachanga sprite na maji, eti anadilute sukari, ila unamuona anapiga chupa la 1/2 l peke yake! lolhahahaha loool
If it was up to me I would, lakini kuna mwenye nyumba "Bi mama" na huyo pengine ni mjomba wake. Hawezi kumfanyia hivyo. So wewe mtoto unaambiwa ukapike.
Sijui hata thawabu kama tulikuwa tukipata, manake moyoni ume-mind vibaya....lol
Hahahaha, hizo si za zamani? sisi tunaongelea leo hii, unampata shangazi majaliwa kaja na unoko wake, anachanga sprite na maji, eti anadilute sukari, ila unamuona anapiga chupa la 1/2 l peke yake! lol